Salut kwenu great thinkers wa JF.
Hivi karibuni nimeshuhudia uenezi wa taarifa za kipvmbavu sana kupitia hii media house. Moja ya taarifa hizo ni hizi hapa chini
1.ALIKIBA APOSTI PICHA AKIWA DIAMOND PLATNUMZ: kaeni mkielewa jamii ishawakataa waha wajinga na wasaliti wa hili taifa
2. MKE WA MC PILIPILI AWASILI DODOMA: hapa ilinibidi nicheke kwanza. hivi hamuelewi kifo ni kifo tu? (Isipokuwa vifo vilivyotokea October 29)
Mnatuhabarisha upvvzi sana
Tukutane December 9.