Clouds Media bado wana mapenzi na Diamond!!!

Una uhakika gani kama Wasafi tv na Radio ni za Kusaga na siyo za Makonda? Au maneno ya Mange Kimambi ndiyo unayorefer?
 
Una uhakika gani kama Wasafi tv na Radio ni za Kusaga na siyo za Makonda? Au maneno ya Mange Kimambi ndiyo unayorefer?
Hapana sina proof yoyote, ila ndo hivyo ilivyo, niliambiwa na mtu ambaye tupo wote kwenye digital industry, baada ya kusoma draft ya MOU
 
Kuna kitu sielewi, Kusaga ndiyo mmiliki wa wasafi tv/radio, huyu kusaga si ndiyo mmiliki wa CMG?

Kama ni mmiliki wa CMG kwanini aanzishe WASAFI TV/RADIO?
 
Uwe shabiki wa Diamond au shabiki Wa Ali Kiba au hata shabiki wa Nandi na Bill Nas

Kitendo cha nchi yetu kuwa na mtu mmoja tu alo shikiria industry nzima ya mziki yafaa kikemewe. Huwa mnamsifia Ruge kwa kubania watu, anawalipa?. Hii ni dalili ya umasikini hata wa kimawazo. Leo mnaweza mkawa mna emjoy wasanii wenu wanapatana na Ruge kesho akiwafungia mtaona effects zake pia. Lazima kama taifa tuwe na reforms kwenye hizi ishu. Hata hao wasanii ambao wanapatana na Ruge wamefanya nini maishani? Wengi hata wakifa hufa maskini na maisha yao hayaendani na majina na pesa walizo ingiza wakiwa wasanii. We have to do better kwa kweli.
 
Kuna kitu sielewi, Kusaga ndiyo mmiliki wa wasafi tv/radio, huyu kusaga si ndiyo mmiliki wa CMG?

Kama ni mmiliki wa CMG kwanini aanzishe WASAFI TV/RADIO?
Yule ni mfanyabiashara tu, ni mmiliki wa Clouds lakini pale CMG mwenye nguvu ni Ruge, pia huenda anaona clouds inashuka so inabidi afanye investment sehemu tofauti, kumbuka bifu la kimedia kati ya wasafi na clouds litamuongezea hela Kusaga, yeye yupo kibiashara tu!
 
Wasi wasi wenu maana dj wa ile event alikuwa DjDommy wa Clouds fm
 
Umesahau juzi tu kaitwa na magufuli kwny ufunguzi wa uwanja pale JNIA au napo ni kwa msaada wa ruge?
 
Hivi ukisema clouds inashuka,unakua umemaanisha nini?
 
Wewe upo dunia ya ngapi ndugu yangu Diamond mwaka huu mpaka sasa anashoo tatu za kimataifa One Africa na shoo moja ya World cup ,hapo bado kenya mwaka huu kishapiga show zaidi ya tano kubwa,Diamond ndiye msanii mpaka sasa nyimbo zake mbili tu SIKOMI na Africa beuty zina jumla ya views zaid ya mil 25,African beuty na album yake ktk chart za Itune Kenya zimekaa no1 zaidi ya wiki 2+,hivi ni msanii gani kwa mwaka huu alifanya nusu ya huyu Diamond mtaje ww .Alafu ngoja nikwambie kitu ndugu yangu kumsaidia mtu ni jambo zuri ,ila kumsaidia mtu ukiwa na matarajio ya kumnyonya ni jambo baya hata mbelle za mungu.Hivi unamjua Messi Barcelona yule wamemkuza tokea mdogo mpaka sasa na kwa kumthamini Messi anakula ela ndefu kuliko wachezaji yoyote yule Barcelona.
Eti Diamond asahau kukanyaga Ikulu wakati juzi mkulu mwenyewe kampigia simu kumpongeza kwa kuchagulia kuimba wimbo na kutumuiza World Cup na alimwalika ktk uzinduzi wa RADA (Je mpaka hivi sasa kuna msanii gani kafanyiwa hivi?) au umesahau alafu nakuhakikishia kabla ya kwenda kombe la dunia Diamond lazima ataenda IKULU (Mark my word).
Sasa unamsaidia mtu alafu anamshusha ndio unafanya nn si bora uache,RUGE na CMG ndio wanatutengenezea MASIKINI WENYE MAJINA MAKUBWA Ngwair kafa ana nini yule,Barnaba msanii aliyekalmilika kuliko msanii yoyote TZ,leo hii ana nini na mziki tayari ushamkataa.Unamtishia Diamond promo,hao wakina Linah,Maua sama,Nandy,Barnaba ,Kiba etc wamemzidi nini Diamond.
Alafu Diamond nyimbo zake kutokupigwa CMG hakujampunguzia chochote kabisa ,alafu sijajua labda ulizaliwa wakati gani lakini kabla ya CMG,kulikuwa redio kali kama RTD,Radio One(enzi hizo kuna Misanya Bingi,Aboubakari sadiki na kwa fujo Dj,Abdallah MAJURA) ,Radio Free Africa leo hii zipo wapi kwa hiyo hata hiyo clouds itapita na kuporomoka tu.Tuijenge insustry yetu kibiashara zaidi na si kuishkaji ili kupunguza WASANII MASIKINI WENYE MAJINA MAKUWA.
 
Aki
Akina Suge Kight walikuwa magodfather zaidi ya huyo Ruge leo hii yupo wapi.Eti Kusaga awe mmiliki wa Wasafi Radio alafu aiache Choice fm ipumulie mipira ,HAMNA MAFAYABIASHARA ATAKAYEFANYA UPUMBAVU HUO au ndio wale dada mange kasema au wewe BRELA.Hivi kusaga awe mmiliki wa Wasafi Tv alafu nyimbo za WCB zisipige,it doesn't make sense kabisa alafu mbona kumiliki redio kitu easy as long uwe na mkwanja,sijui kama unamjua mtu anayeitwa Abdallah Majura alikuwaga Radio One ,jamaa sasa hivi ana redio yake ,sasa mtu kama Majura anamiliki TV je huyo msanii anayelipwa mil 100+ kwa shoo ndio ashindwe kumiliki Redio.
 
Hapana sina proof yoyote, ila ndo hivyo ilivyo, niliambiwa na mtu ambaye tupo wote kwenye digital industry, baada ya kusoma draft ya MOU
Umeambiwa na mtu huyo mtu amekuwa BRELA.
 
Boraaa uwaambieeee
 
Mhh hivi ndugu yangu ushawahi kufanya biashara hata ya pipi,yaani biashara moja inafeli alafu unaacha unaenda kuanzisha upya biashara ile ile ambayo ulishindwa uisimamisha,hivi unajua gharama ya kuisimamisha BRAND mpya sokoni.
 
Incase hujui hiyo ilikuwa jana serena ambapo kwa marabya kwanza wimbo wa kiswahili wa kombe la duniaa ulikuwa unatambulishwa na kitenge na kibonde walikuwepo kama ma mc wa sherehe hiyo so ni lazimaa kucheza na mambo ya cmg hayahusiani na mtu binafsi kwahiyo kucheza kwake sio kosa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…