Clouds Media bado wana mapenzi na Diamond!!!

Jamaa muongo wewe Ruge hana uwezo wa kumshusha Diamond...zama hizi sio kma za zamani technologia imekuwa siku hizi hata hizo redio watu hawasikilizi siku hizi mitandao ya kijamii imeshika kasi na diamond ndio ameikamata ...Ruge atulie tu
 
Wewe unaendeshwa na fikra za da mange matokeo yake unajichanganya, eti Kusaga anamiliki Wasafi TV[emoji16], kwahiyo unaamini kwamba Kusaga ameikimbia nyumba yake aliyoijenga CMG?[emoji51]
 
Hapana sina proof yoyote, ila ndo hivyo ilivyo, niliambiwa na mtu ambaye tupo wote kwenye digital industry, baada ya kusoma draft ya MOU
Una uhakika gani kuwa huyo jamaa aliyekwambia alikuwa kweli ameziona hizo draft za Memart za Wasafi TV na Wasafifm? Hayo mambo ya kuambiwa kuwa nayo makini. It doesn't appear to me to be true kwa sababu ukifikiria it is absurd siamini kwamba Kusaga ana mahusiano mabaya na Ruge kihivyo mpaka Kusaga afikie huko. Hizo ni story za Da'Mange na Mange huwa wakati mwingine anapewa taarifa zisizo za kweli yeye ili mradi zimetoka kwenye kile anachokiona reliable source basi anapublish. Meanwhile I have a feeling sometimes Mange huwa analipwa kuwatengenezea watu kiki kama hii ya Wasafi TV nahisi Akina Domo walimlipa aizushe ili kufanya Wasafi TV na Radio zizungumziwe. Sisi huwa tunaona kile tu Mange anachopost ila yanayoendelea huko DM na inbox ni makubwa
 
Clouds Media kwasasa hata Mange anawakalisha.

Alikiba angekuwa mjanja angeomba promo kwa Mange,angekimbiza sana,ona promo ya clouds ilivyodorora.
Exactly kuliko kushinda clouds one day hiyo kampeni Mange angeifanya kwa gharama nafuu sana. Mimi huwa nashangaa hata makampuni makubwa yanashindwaje kumlipa Mange awaandalie kiki moja tu bidhaa au huduma ziuzike mtaani? Kiba angemtumia Mange badala ya clouds ingemuepushia mengi maana clouds nia yao ni kupambana na Mondi na imeshajengeka hivyo sasa kuwatumia imefanya hata mashabiki wa WCB wawe wakali lakini angemtumia mange inajulikana mange ni shabiki wa kiba na tafsiri ingekuwa kwenye ushabiki tu na siyo nia ovu
 
vijana wameamka,
 
mda utaongea, bakisha akiba ya maneno mkuu,

acha ushabiki mkuu, diamond sio wa kumfananisha na huyo
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nakazia tuuu boss

Waiter zungusha tena bapa na dompo
 
Ivi toka Ruge ananze kuisimamia THT ni wasanii wa ngapi washawahi fikia hata nusu ya mafanikio ya Diamond?
 
Team Mondi ..Jide mwaka wa tano hapigwi Clouds umemsikia akilalamika..Ruge alishawahi kusema napiga muziki ninaotaka Mimi maana ni radio binafsi NB: Alafu wasafi Teevee si waache kucheza ngoma za King Kiba si wanampa mileage ya bure wakati hata salamu hawapi kiganja dhereu ujue..
 


kuna tofauti kati ya maisha ya mtu binafsi/mfanyakazi nje ya kazi na maisha ndani ya Taasisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…