Clouds Media bado wana mapenzi na Diamond!!!

Yes, ni kweli mkuu! Ninachojaribu kusema sio kwamba Ruge anafanya poa, hapana ninachojaribu kusema ni kwamba ametengeneza soko ambalo ili msanii utoke lazima umlambe miguu, Ruge hapendi kudharauliwa kwa kazi aliyoifanya, na Ruge anapiga pesa kupitia wasanii aliowasaidia, tatizo ni hizo za dharau anazomuoneshea kwamba mimi pia ni mkubwa, Ruge katika industry ni Godfather wa diamond, so kama diamond ameingia kwenye industry aliyopo Ruge hapo kinachofata ni ushindani tu kibiashara na sio bifu, Sebastian Ndege mzee wa njia panda anamiliki band na radio, lakini hana bifu na Ruge,

Ugomvi wa Ruge na Diamond haupo pia, ugongomvi uliopo ni kati ya Ruge na Kusaga tu, Kusaga ndo mmiliki wa Wasafi tv na Radio, diamond karanga while Ruge yuko na chibu perfume na wasafi.com
Diamond ni mdogo hawezi na hatokaa aweze bifu na Ruge ningemshauri asijiingize huko kabisa, kama amejiona na yeye ni mkubwa anaweza tengeneza soko lake mwenyewe kama alivyofanya Majizzo na maisha yakaendelea
Jamaa muongo wewe Ruge hana uwezo wa kumshusha Diamond...zama hizi sio kma za zamani technologia imekuwa siku hizi hata hizo redio watu hawasikilizi siku hizi mitandao ya kijamii imeshika kasi na diamond ndio ameikamata ...Ruge atulie tu
 
Yes, ni kweli mkuu! Ninachojaribu kusema sio kwamba Ruge anafanya poa, hapana ninachojaribu kusema ni kwamba ametengeneza soko ambalo ili msanii utoke lazima umlambe miguu, Ruge hapendi kudharauliwa kwa kazi aliyoifanya, na Ruge anapiga pesa kupitia wasanii aliowasaidia, tatizo ni hizo za dharau anazomuoneshea kwamba mimi pia ni mkubwa, Ruge katika industry ni Godfather wa diamond, so kama diamond ameingia kwenye industry aliyopo Ruge hapo kinachofata ni ushindani tu kibiashara na sio bifu, Sebastian Ndege mzee wa njia panda anamiliki band na radio, lakini hana bifu na Ruge,

Ugomvi wa Ruge na Diamond haupo pia, ugongomvi uliopo ni kati ya Ruge na Kusaga tu, Kusaga ndo mmiliki wa Wasafi tv na Radio, diamond karanga while Ruge yuko na chibu perfume na wasafi.com
Diamond ni mdogo hawezi na hatokaa aweze bifu na Ruge ningemshauri asijiingize huko kabisa, kama amejiona na yeye ni mkubwa anaweza tengeneza soko lake mwenyewe kama alivyofanya Majizzo na maisha yakaendelea
Wewe unaendeshwa na fikra za da mange matokeo yake unajichanganya, eti Kusaga anamiliki Wasafi TV[emoji16], kwahiyo unaamini kwamba Kusaga ameikimbia nyumba yake aliyoijenga CMG?[emoji51]
 
Hapana sina proof yoyote, ila ndo hivyo ilivyo, niliambiwa na mtu ambaye tupo wote kwenye digital industry, baada ya kusoma draft ya MOU
Una uhakika gani kuwa huyo jamaa aliyekwambia alikuwa kweli ameziona hizo draft za Memart za Wasafi TV na Wasafifm? Hayo mambo ya kuambiwa kuwa nayo makini. It doesn't appear to me to be true kwa sababu ukifikiria it is absurd siamini kwamba Kusaga ana mahusiano mabaya na Ruge kihivyo mpaka Kusaga afikie huko. Hizo ni story za Da'Mange na Mange huwa wakati mwingine anapewa taarifa zisizo za kweli yeye ili mradi zimetoka kwenye kile anachokiona reliable source basi anapublish. Meanwhile I have a feeling sometimes Mange huwa analipwa kuwatengenezea watu kiki kama hii ya Wasafi TV nahisi Akina Domo walimlipa aizushe ili kufanya Wasafi TV na Radio zizungumziwe. Sisi huwa tunaona kile tu Mange anachopost ila yanayoendelea huko DM na inbox ni makubwa
 
Clouds Media kwasasa hata Mange anawakalisha.

Alikiba angekuwa mjanja angeomba promo kwa Mange,angekimbiza sana,ona promo ya clouds ilivyodorora.
Exactly kuliko kushinda clouds one day hiyo kampeni Mange angeifanya kwa gharama nafuu sana. Mimi huwa nashangaa hata makampuni makubwa yanashindwaje kumlipa Mange awaandalie kiki moja tu bidhaa au huduma ziuzike mtaani? Kiba angemtumia Mange badala ya clouds ingemuepushia mengi maana clouds nia yao ni kupambana na Mondi na imeshajengeka hivyo sasa kuwatumia imefanya hata mashabiki wa WCB wawe wakali lakini angemtumia mange inajulikana mange ni shabiki wa kiba na tafsiri ingekuwa kwenye ushabiki tu na siyo nia ovu
 
Hiyo Ni nje ya kazi!
Kwani ulisikia wameambiwa wasiwasiliane na diamond hata nje ya ofisi?

Unajua chanzo cha mgogoro wao?

Ninachomkubali Ruge huwa haongei sana Ni vitendo tu!
Yaani kama vile umemkuta mwizi nyumbani kwako unaanza kumfukuza kimya kimya mpaka uhakikishe anaanza kupiga yowe yeye mwenyewe!

Na anawawezea kweli!
vijana wameamka,
 
Yes, ni kweli mkuu! Ninachojaribu kusema sio kwamba Ruge anafanya poa, hapana ninachojaribu kusema ni kwamba ametengeneza soko ambalo ili msanii utoke lazima umlambe miguu, Ruge hapendi kudharauliwa kwa kazi aliyoifanya, na Ruge anapiga pesa kupitia wasanii aliowasaidia, tatizo ni hizo za dharau anazomuoneshea kwamba mimi pia ni mkubwa, Ruge katika industry ni Godfather wa diamond, so kama diamond ameingia kwenye industry aliyopo Ruge hapo kinachofata ni ushindani tu kibiashara na sio bifu, Sebastian Ndege mzee wa njia panda anamiliki band na radio, lakini hana bifu na Ruge,

Ugomvi wa Ruge na Diamond haupo pia, ugongomvi uliopo ni kati ya Ruge na Kusaga tu, Kusaga ndo mmiliki wa Wasafi tv na Radio, diamond karanga while Ruge yuko na chibu perfume na wasafi.com
Diamond ni mdogo hawezi na hatokaa aweze bifu na Ruge ningemshauri asijiingize huko kabisa, kama amejiona na yeye ni mkubwa anaweza tengeneza soko lake mwenyewe kama alivyofanya Majizzo na maisha yakaendelea
mda utaongea, bakisha akiba ya maneno mkuu,

acha ushabiki mkuu, diamond sio wa kumfananisha na huyo
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ruge ndiye aliyeufanya mziki wa bongo flavor ukae kibiashara, namaanisha yeye ndiye aliyetengeneza soko lake ndani na nje, na yeye ndiye alishika soko lao, East Afrika walichemka, kina majizzo walijikita kwenye burudani lakini Ruge peke yake ndo alijikita kwenye biashara, kabla ya Ruge kuupeleka mziki huo level za kimataifa aliurasimisha ukawa na haadhi hapa nchini, nani mkulu angekaa enzi hizo kusikiliza Julietha na nyambizi? Ulichukuliwa kihuni tu, alifanya juhudi kuua hipo hop kabisa ili wasanii wote waimbe wakiwa civilized! Na kupitia makundi yote ya ki hip hop gangsters yalikufa, hapo kabla ungesikia EastCost wana bifu na TMK wanaume japo wote walionekana machoko mbele ya Nako2Nako na Kikosi cha mizinga, huku unamkuta fid q na pale dudubaya, mabifu ya kuhuni kabisa, Ruge alipofanikiwa kuua hipo hipo akamgeuza na fid q kuwa muimba taarabu siku hizi, pima uwezo wa Ruge alipomwambia Mrisho Mpoto Mjomba, acha ufala tafuta hela, muziki wako uingize hela, tangu hapo mjomba anaimba nini? Zaidi ya kualikwa Ikulu ka mwanasiasa, kazi ya Ruge katika hiyo industry ni kubwa japo yapo ya hovyo pia alifanya, amewanyonya wasanini lakini ni yeye aliyewasaidia leo kila msanii analilia ngoma yake ichezwe clouds

Hata asipocheza ngoma yako ila anajua fitina zote za hiyo industry coz he blooded to build it, jiulize tangu diamond ametoswa na clouds kuna show gani ya maana amewahi kuifanya ya kumuingizia mkwanja? Kama alivyompandosha atamshusha tu, yaani diamond asahau kukanyaga Ikulu tena mark my words, hao wasanii wote ambao Ruge kawalea na kuwakuza anaouweza kuwa destroy kama alivyofanya kwa wengine kina Saida tena dada yake, na wengine kibao, THT wakati inaanza alikuwepo kina Vumilia na tangu alipotoka kujiunga na band hadi leo hasikiki!

Kwakifupi dogo diamond anakosea sana na management yake inamdanganya, alimzingua Bob junior na Kiba waliomsaidia hadi ruge na kina babu tale kumjua, anamzingua na Ruge aliyemsaidia kufika hapo alipo leo, clouds ilikuwa haipiti siku bila kusikia nyimbo ya diamonds sasa hivi ameota mapembe subiri tu promo atakayopewa kiba utashangaa.....!
Nakazia tuuu boss

Waiter zungusha tena bapa na dompo
 
Ivi toka Ruge ananze kuisimamia THT ni wasanii wa ngapi washawahi fikia hata nusu ya mafanikio ya Diamond?
 
Team Mondi ..Jide mwaka wa tano hapigwi Clouds umemsikia akilalamika..Ruge alishawahi kusema napiga muziki ninaotaka Mimi maana ni radio binafsi NB: Alafu wasafi Teevee si waache kucheza ngoma za King Kiba si wanampa mileage ya bure wakati hata salamu hawapi kiganja dhereu ujue..
 
Sasa ndo naamini kwamba wafanyakazi wa clouds wana Mapenzi Diamond na bado wanafurahia kazi zake,na Wana Mmiss pia isipokuwa tu wanaogopa kibarua kuota nyasi kwa vile bosi wao ana chuki binafsi na WCB,tunawatukana na kuwalaumu bure pasipo kujua kuwa ndani ya CMG wapo team WCB damu damu ila tu ndo hivyo tena mambo ya kuajiriwa lazma ukubali kulala uchi......angalia hizi picha utamuona kibonde akiwa na kitenge na kwa nyuma mzee mzima Chibu D akiperform kwangwaru...sijui ilikuwa ni party ya nini...lakini kwenye video clip inaonyesha Kibonde akiserebuka na baadae akakimbia kukwepa camera...nadhani alijishtukia...Ingia kwenye instagram ya Kitenge Maulid kuona hizo clip.

My take: Hakuna jambo zuri kama uhuru wa nafsi,mwili na akili...vijana wenzangu tujitahidi kufanya kazi sana ili na sisi tuwe mabosi wa kazi zetu kuliko kuwa watumwa.....View attachment 775736 View attachment 775739 View attachment 775741

kuna tofauti kati ya maisha ya mtu binafsi/mfanyakazi nje ya kazi na maisha ndani ya Taasisi
 
Back
Top Bottom