Clouds Media Group bila Ruge tutarajie nini?

Ramli chonganishi..anyway CMG ni taasisi ..brainstorming ni afya Kwa kile wanacho-kienenda! Maisha hayatokua sawa kama zamani lakini yatakwenda! Kila La heri!
Wazee wa kubet tunaona rise and fall kwa jicho la tatu, Majizo akichanga karata vizuri game lake na Lulu katika tasnia ya burudani bongo.
 
Mm naona Diamond anaweza kuleta share zake pale na akawa mmoja wa wakurugenzi pale clouds.
Pengine wasafi TV na radio zikaunganishwa clouds na kuwa kampun moja.

Sent using Jamii Forums mobile app


najua unapumbazika na wasafi media

uzoefu wa akina kipanyax kibonde,habash, ndege, dauda...n.k sio wa kuwaweka kundi moja na wasafi

wale cmg ni university, wasafi shule ya kata
 
Wapo akina ruge wengi watazaliwa pale clouds na pia yawezekana walikuwapo ila walikuwa hawawez kuonesha uwezo wao enzi za uhai wa ndgu yetu maana walikuwa wakitii ile kanuni/sheria isemayo "never outshine your master",kuonesha uwezo zaid ya au kulingana na boss huatalisha ajira!,
 
Nilikua naomba Wamchukue Mexcence Melo kama wananiskia,Melo anauwezo wa kusimama pale na kuziba pengo la Ruge,japo wapo kina Seba Maganga,KP,Reuben Ndege,Siza:Mussa Hussein na Kapiteeeiiin.
 
Nilikua naomba Wamchukue Mexcence Melo kama wananiskia,Melo anauwezo wa kusimama pale na kuziba pengo la Ruge,japo wapo kina Seba Maganga,KP,Reuben Ndege,Siza:Mussa Hussein na Kapiteeeiiin.
hawawezi chukua mtu nje ya CMG never
 
For sure.
 
Kwani Hiyo kampuni haina bodi?


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kazi


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Maisha lazima yaendelee, kama hawakujifunza kwake alipokuwepo shauri yao, kama walikalia kumsema na kumfitini badala ya kusoma ujuzi wake na kuongeza yao itakula kwao, ila ukweli unabakia pale pale, maisha ni lazima yaendelee tu, hata ukipoteza mwenza wako, kamanda wako n.k...
 
Hawata survive ile clouds ilishakuwa a one man show, hadi wamiliki walikuwa wanamtegemea ruge.. Kwa hali ilivyo sasa kama kwa media zingine watakosa hata mishahara.. Ruge alikuwa na kipaji cha kujiiongeza na kushupalia projects za watu wengine na kuiingizia clouds kipato kufidia gaps kwenye revenues.. Fursa izo zinahitaji go getter mwenye vision siyo mtu wa kusubira go ahead kwa kusaga, au kuhofia failure.. Sijaona mtu mwenye kiburi icho clouds kwa sasa ukizingatia ruge alikuwa siyo tuu mwajiriwa bali ni shareholder.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…