Clouds Media Group bila Ruge tutarajie nini?

Clouds Media Group bila Ruge tutarajie nini?

Ramli chonganishi..anyway CMG ni taasisi ..brainstorming ni afya Kwa kile wanacho-kienenda! Maisha hayatokua sawa kama zamani lakini yatakwenda! Kila La heri!
Wazee wa kubet tunaona rise and fall kwa jicho la tatu, Majizo akichanga karata vizuri game lake na Lulu katika tasnia ya burudani bongo.
 
Mm naona Diamond anaweza kuleta share zake pale na akawa mmoja wa wakurugenzi pale clouds.
Pengine wasafi TV na radio zikaunganishwa clouds na kuwa kampun moja.

Sent using Jamii Forums mobile app


najua unapumbazika na wasafi media

uzoefu wa akina kipanyax kibonde,habash, ndege, dauda...n.k sio wa kuwaweka kundi moja na wasafi

wale cmg ni university, wasafi shule ya kata
 
Wapo akina ruge wengi watazaliwa pale clouds na pia yawezekana walikuwapo ila walikuwa hawawez kuonesha uwezo wao enzi za uhai wa ndgu yetu maana walikuwa wakitii ile kanuni/sheria isemayo "never outshine your master",kuonesha uwezo zaid ya au kulingana na boss huatalisha ajira!,
 
Nilikua naomba Wamchukue Mexcence Melo kama wananiskia,Melo anauwezo wa kusimama pale na kuziba pengo la Ruge,japo wapo kina Seba Maganga,KP,Reuben Ndege,Siza:Mussa Hussein na Kapiteeeiiin.
 
Nilikua naomba Wamchukue Mexcence Melo kama wananiskia,Melo anauwezo wa kusimama pale na kuziba pengo la Ruge,japo wapo kina Seba Maganga,KP,Reuben Ndege,Siza:Mussa Hussein na Kapiteeeiiin.
hawawezi chukua mtu nje ya CMG never
 
Kwa masikitiko makubwa napenda kutoa pole kwa familia nzima ya Prof Mutahaba,CMG ndugu jamaa na marafiki kwa kumpoteza kijana mahiri,visionary mastermind wa tasnia nzima ya burudani nchini,hakika hakuna anayefurahia kifo cha mwanadamu mwenzake isipokua mchawi na mwanasiasa tu pumzika kwa AMANI RUGE.

Back to the topic,kila.mmoja anajua kwamba taasisi imara ni ile ambayo imejengwa katika misingi ya kutomtegemea mtu bali mfumo,kanuni hii imekua ni kinyume kabisa kwa ndugu zetu hawa wa CMG ambao katika kila sikio la mtanzania ameskia wafanyakazi wa media hiyo wakimtaja.

Boss Ruge (R.I.P) kama ni genius,akili kubwa,Chuo Kikuu kwa maana yeye ndio alikua kila kitu pale mjengoni na wengine ni wafata upepo tu,mtihani mdogo walioputa CMG pasi na uwepo wa Ruge ni ule uliopelekea kuahirishwa kwa tamasha la fiesta jambo ambalo tuliwaskia watu wengi wakiwemo wanafamilia wa clouds wakisema "angekuwepo Ruge wasingefuta fiesta.

Angepambana hadi kieleweke" kwangu mimi binafsi ule ni udhaifu mkubwa sana kwa afya ya taasisi,why Ruge? ina maana hakuwatrain watu wengine kujua mbinu alizokua anatumia kufanikisha mambo ya taasisi ile? now Ruge has gone which is a good thing kwa maadui zake,lengo lao limetimia kwa sasa tutegemee majaribu mengi sana kwa chombo hiki cha habari,

Yatakayopelekea hatari ya kupotea kwenye ramani endapo hawataondoa ile mentality "angekuwepo Ruge" they need to stay strong and focus.....
For sure.
 
Kwani Hiyo kampuni haina bodi?


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kazi


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Maisha lazima yaendelee, kama hawakujifunza kwake alipokuwepo shauri yao, kama walikalia kumsema na kumfitini badala ya kusoma ujuzi wake na kuongeza yao itakula kwao, ila ukweli unabakia pale pale, maisha ni lazima yaendelee tu, hata ukipoteza mwenza wako, kamanda wako n.k...
 
Hawata survive ile clouds ilishakuwa a one man show, hadi wamiliki walikuwa wanamtegemea ruge.. Kwa hali ilivyo sasa kama kwa media zingine watakosa hata mishahara.. Ruge alikuwa na kipaji cha kujiiongeza na kushupalia projects za watu wengine na kuiingizia clouds kipato kufidia gaps kwenye revenues.. Fursa izo zinahitaji go getter mwenye vision siyo mtu wa kusubira go ahead kwa kusaga, au kuhofia failure.. Sijaona mtu mwenye kiburi icho clouds kwa sasa ukizingatia ruge alikuwa siyo tuu mwajiriwa bali ni shareholder.
 
Back
Top Bottom