Clouds Media Group bila Ruge tutarajie nini?

Clouds Media Group bila Ruge tutarajie nini?

Madimba jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2017
Posts
1,577
Reaction score
3,146
Kwa masikitiko makubwa napenda kutoa pole kwa familia nzima ya Prof Mutahaba,CMG ndugu jamaa na marafiki kwa kumpoteza kijana mahiri,visionary mastermind wa tasnia nzima ya burudani nchini,hakika hakuna anayefurahia kifo cha mwanadamu mwenzake isipokua mchawi na mwanasiasa tu pumzika kwa AMANI RUGE.

Back to the topic,kila.mmoja anajua kwamba taasisi imara ni ile ambayo imejengwa katika misingi ya kutomtegemea mtu bali mfumo,kanuni hii imekua ni kinyume kabisa kwa ndugu zetu hawa wa CMG ambao katika kila sikio la mtanzania ameskia wafanyakazi wa media hiyo wakimtaja.

Boss Ruge (R.I.P) kama ni genius,akili kubwa,Chuo Kikuu kwa maana yeye ndio alikua kila kitu pale mjengoni na wengine ni wafata upepo tu,mtihani mdogo walioputa CMG pasi na uwepo wa Ruge ni ule uliopelekea kuahirishwa kwa tamasha la fiesta jambo ambalo tuliwaskia watu wengi wakiwemo wanafamilia wa clouds wakisema "angekuwepo Ruge wasingefuta fiesta.

Angepambana hadi kieleweke" kwangu mimi binafsi ule ni udhaifu mkubwa sana kwa afya ya taasisi,why Ruge? ina maana hakuwatrain watu wengine kujua mbinu alizokua anatumia kufanikisha mambo ya taasisi ile? now Ruge has gone which is a good thing kwa maadui zake,lengo lao limetimia kwa sasa tutegemee majaribu mengi sana kwa chombo hiki cha habari,

Yatakayopelekea hatari ya kupotea kwenye ramani endapo hawataondoa ile mentality "angekuwepo Ruge" they need to stay strong and focus.....
 
Kwa akili za akina Ngoma sitegemei ubunifu wowote na yawezekana huu ukawa ndio mwanzo wa mwisho wa Mawingu!
 
Ni kweli he was a mastermind due to "business intelligence", political connectivity, guts, financial intelligence, exposure, and business acumen. Watashake during transition....CMG is a multimillion Enterprise hence with the Kusaga family on the realm they can bring in a good management team na wao kufanya kazi lobbing hapa na pale
 
Aliyepaswa kuwa mbadala wa Ruge alipaswa kuwa G Habash ila bahati mbaya nae akili zake naona anazijua mwenyewe kidogo yule dogo Millady Ayo angekuwa yupo chini yao 100% angeweza ila wacha shaffii dauda aendelee kuwaburuza
 
Ni kweli he was a mastermind due to "business intelligence", political connectivity, guts, financial intelligence, exposure, and business acumen. Watashake during transition....CMG is a multimillion Enterprise hence with the Kusaga family on the realm they can bring in a good management team na wao kufanya kazi lobbing hapa na pale

Sent using Jamii Forums mobile app
tuwape muda wajipange,walamba nyayo itakua washaanza kwenda kuloga wachukue cheo cha Ruge
 
Ramli chonganishi..anyway CMG ni taasisi ..brainstorming ni afya Kwa kile wanacho-kienenda! Maisha hayatokua sawa kama zamani lakini yatakwenda! Kila La heri!
 
Mm naona Diamond anaweza kuleta share zake pale na akawa mmoja wa wakurugenzi pale clouds.
Pengine wasafi TV na radio zikaunganishwa clouds na kuwa kampun moja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cdhan kama wataanguka ngoja tuone ila mungu awasimamie wapo kwenye wakat mgumu sana
 
Tuanzie na hizo siku alizokua mahututi ...je kulikua na maajabu yoyote????

Maana dalili ya mvua ni mawingu
 
Kwa masikitiko makubwa napenda kutoa pole kwa familia nzima ya Prof Mutahaba,CMG ndugu jamaa na marafiki kwa kumpoteza kijana mahiri,visionary mastermind wa tasnia nzima ya burudani nchini,hakika hakuna anayefurahia kifo cha mwanadamu mwenzake isipokua mchawi na mwanasiasa tu pumzika kwa AMANI RUGE.

Back to the topic,kila.mmoja anajua kwamba taasisi imara ni ile ambayo imejengwa katika misingi ya kutomtegemea mtu bali mfumo,kanuni hii imekua ni kinyume kabisa kwa ndugu zetu hawa wa CMG ambao katika kila sikio la mtanzania ameskia wafanyakazi wa media hiyo wakimtaja Boss Ruge (R.I.P) kama ni genius,Akili kubwa,Chuo Kikuu kwa maana yeye ndio alikua kila kitu pale mjengoni na wengine ni wafata upepo tu,mtihani mdogo walioputa CMG pasi na uwepo wa Ruge ni ule uliopelekea kuahirishwa kwa tamasha la fiesta jambo ambalo tuliwaskia watu wengi wakiwemo wanafamilia wa clouds wakisema "angekuwepo Ruge wasingefuta fiesta angepambana hadi kieleweke" kwangu mimi binafsi ule ni udhaifu mkubwa sana kwa afya ya taasisi,why Ruge? ina maana hakuwatrain watu wengine kujua mbinu alizokua anatumia kufanikisha mambo ya taasisi ile? now Ruge has gone which is a good thing kwa maadui zake,lengo lao limetimia kwa sasa tutegemee majaribu mengi sana kwa chombo hiki cha habari,yatakayopelekea hatari ya kupotea kwenye ramani endapo hawataondoa ile mentality "angekuwepo Ruge" they need to stay strong and focus.....

Kama imeundwa Wasafi kupambana na Clouds ya R.I.P Ruge sijui lengo lilikuwa kumkomoa? Basi mapenzi ya bwana yatimie
 
Back
Top Bottom