Clouds Media Group mnajidhalilisha

Clouds Media Group mnajidhalilisha

Slim

Senior Member
Joined
Nov 12, 2008
Posts
145
Reaction score
179
Nimesikia matangazo kwamba wanatoza watu pesa kwa ajili ya US Visa lottery wakati hii kitu ni bureee kabisa na mtu unatumia dk 3 mpaka 5 kujaza online form buree kabisa na ofisi ya US immigration imesisitiza hili zoezi ni bureee Bora wangejitolea kusaidia watu bure kuliko kutoza fedha ukienda ubalozi wa marekani unasaidiwa bure kwenye maktaba yao ambayo pia internet ni buree. Nawasilisha.
 
Kumradhi! Kuna changamoto kidogo
Oops!

We ran into some problems. Please try again later. More error details may be in the browser console.
 
Waafrika hasa watanzania njaa sana.

Waafrika hasa watanzania wavivu sana hata application simple tu, wanataka kufanyiwa.

Mtu anashindwa kusoma instructions mpaka mtu mwingine amwelekeze.

Ndio maana Ma Agents wanawapiga Hela sana wajinga.

Kuna huyo jamaa anaitwa Dnyota ku apply kwake DV lottery ilikuwa ni Elfu 50...😄😄

Jamaa kuchota sana hela za mapoyoyo.
 
Back
Top Bottom