Najaf JF-Expert Member Joined Jun 20, 2015 Posts 1,505 Reaction score 2,393 Aug 9, 2018 #1 Naomba muwe mnaandaa mechi ya mshindi wa Ndondo Cup na Bingwa wa premier au Azam Cup!!! Hakika kuna mengi ya kunufaika kutokana na hili. Ahsanteni sana.
Naomba muwe mnaandaa mechi ya mshindi wa Ndondo Cup na Bingwa wa premier au Azam Cup!!! Hakika kuna mengi ya kunufaika kutokana na hili. Ahsanteni sana.
Red Giant JF-Expert Member Joined Mar 9, 2012 Posts 15,657 Reaction score 20,967 Aug 9, 2018 #2 itakuwa poa. ila ndondo ni maarufu kuliko ligi Daraja la kwanza. inabidi TFF waanzishe TV.
T Tissaphernes JF-Expert Member Joined Mar 27, 2018 Posts 2,902 Reaction score 3,560 Aug 9, 2018 #3 Afu wakachezee taifa au
Philipo D. Ruzige JF-Expert Member Joined Sep 25, 2015 Posts 9,428 Reaction score 27,096 Aug 9, 2018 #4 Ndondo vs azam cup itapendeza zaidi