Mis powers
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 2,737
- 3,534
Ndio tumefikia huku?! Kuna haja gani ya kuchagua Dc bora huku kesho yake anaweza kuamka kaenguliwa!? Au ndio itakuwa tiketi ya yeye kuendelea kubaki madarakani kwa muda mrefu.! Maana upande ule upepo huwa hautabiriki kwake muda wowote wakt wowote lolote linaweza tokea