Mis powers
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 2,737
- 3,534
Punguza mapepe upigaji kura unaendelea!Hawa ni mdc bora au warembo bora?
Sijaelewa.
Hapa pia na sura zitahusika nilishangaa jokate akoseWana tereza sasa, wabongo tulivyokua hatuna akili watakaopata kura ndogo watachukulia personal.
Na kama mshindi anapigiwa kura, basi bashite hachukui, labda anunue watu wa kumpigia kura mchana kutwa.
Kiuhalisis ni kwamba mtu akishachaguliwa kuwa DC, RC au Waziri tayari huyo ni Kiongozi Bora, kwa sababu hakuna mwenye uwezo wa kuona na kuweka vigezo vya ubora wa viongozi hao zaidi ya Rais wa Nchi. Kitendo cha kuchagua DC,RC na Waziri Bora ni kumkosoa Mhe. Rais.Mtangazaji wa Clouds tv Hassan Ngoma amesema CMG imeandaa shindano la kuwapata viongozi bora kwa ngazi ya DC, RC na Waziri.
Ngoma amesema washindi watano wa kwanza watapewa zawadi mbali mbali na shindano hilo kwa wakuu wa wilaya limeshaanza leo ambapo DC wa Ilala Dr Mjema na wa Kisarawe Jokate wanaongoza kwa kura.
Washindi kwa upande wa maDC watatangazwa Ijumaa hii, maRC watatangazwa Ijumaa ijayo na Mawaziri Ijumaa ya mwisho wa mwaka.
Source Clouds 360
Hapo hapo Mzizima au?Mama mjema anatakiwa awe RC u DC ni kumuonea
uu ni uhuni tu kuna ma dc wanapenda sana kucheza na media ila kazi hazifanyiki na hawajafanya chochote kwao ila wale madc wanaopiga kazi kimya kimya hawawezi kuonekana n,nyie hamuoni hadi sasa wa mjini ndio wanaonekana maana wanajua kucheza na kamera huu ni usanii mwingneMama mjema anatakiwa awe RC u DC ni kumuonea
Mkuu hata Patrobas Katambi anashiriki!Ma-Dc kama wa wilaya za Tanganyika, Nanyumbu, Kasulu, Kaliua, Tandahimba nao wanashiriki?
Au hilo Shindano nia kwa ajili ya Ma-Dc kama Jojo wa Kisarawe, Sophia Mjema, Jerry Muro wa Arumeru?
Mkoa wowoteHapo hapo Mzizima au?
Fabian Daqaro huyo shushushu aliyekuwa PSU wa Jiwe.RC bora Anthony Mtaka DC bora Fabian Daqaro
Kasesera na Godwin Gondwe kama nawaona vile!h
uu ni uhuni tu kuna ma dc wanapenda sana kucheza na media ila kazi hazifanyiki na hawajafanya chochote kwao ila wale madc wanaopiga kazi kimya kimya hawawezi kuonekana n,nyie hamuoni hadi sasa wa mjini ndio wanaonekana maana wanajua kucheza na kamera huu ni usanii mwingne
Wewe ni ndugu wa makonda, mimi nasema ukweli, mama mjema alitakiwa kuwa RC na makonda hafai kuwa hata DCh
uu ni uhuni tu kuna ma dc wanapenda sana kucheza na media ila kazi hazifanyiki na hawajafanya chochote kwao ila wale madc wanaopiga kazi kimya kimya hawawezi kuonekana n,nyie hamuoni hadi sasa wa mjini ndio wanaonekana maana wanajua kucheza na kamera huu ni usanii mwingne