Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 19,976
- 32,195
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hope to see you pia, natumai huwezi niangusha mamaKibongobongo naona kila mtu atakuja kuonyesha kipaji cha kuimba, we subiri tu.
hivi clouds Rwanda ni ya kusaga hii hii au Ni jina TU?Joseph Kusaga ni kichwa balaaa anafikiria mbali sana kuhusu vijana kwenda kuanzisha clouds dubai ambayo ni tv station ya english pekee toka africa, Clouds Rwanda, Clouds Botswana kama sio Zimbabwe.
Kuna interview nilikua nacheki ya Master Jay alikua anahojiwa channel moja dstv anaelezea historia yake na bongo flava ilipotoka anakwambia miaka ile wasanii walikua wanaimba tu bila kupata faida ila anamshukuru Joe Kusaga kwa kuanzisha clouds kwa kubadilisha mziki kuwa wa kibiashara hadi leo watu ni ajira yao.