Clouds Media mmemfanya nini 20%?

Clouds Media mmemfanya nini 20%?

Inawezekana kila kitu chake ni 20%kasoro bange wenyewe imekamilika 100%.
 
Sio Bangi Tu Pia Ni Mlevi Huyo Dogo Kupindukia.Mara Ya Mwsho Nilimwona Geita.Niliambiwa Alikuwa Anatunzwa Na LiKahaba Fulani,
 
tatizo anavuta bangi sana na yuko mchafu sana.Pamoja na kupiga show nyingi Tanzania hadi vijijin na visiwan lakin pesa yote inaishia kwenye mihadarati
 
Umenigusa mkuu,nishajisemea kitambo kwamba kila mtu ajifunze kujitegemea,i mean kama umeajiriwa,hv leo ukifukuzwa kazi utaishije kama hukujipanga?
 
hya ni matokeo ya kukosa vision ktk maisha kwani clouds ni nani mpk wasipopiga nyimbo yako maisha yanakuwa magum!

tell them wack nigga......kwani bila mawingu ndo nn hapa mjini acheni kuwanyenyekea watu kama wao ndo miungu watu......pumb*****
 
bange bange bange zimesababisha mi nisoteee...!
 
20% bangi zinampeleka vibaya,clouds walichomoa tangia mwanzo kupiga nyimbo zake lakini Magic walikuwa wanazitwanga tu mpaka zikavuma na hapo ndio clouds wakaona hamna jinsi maana wasikilizaji wanazirequest sana ila alivyonyea kambi ya Magic chini ya Man Maji(Water) hapo ndio kajichimbia shimo.

Kuna kipindi magic ilikuwa ikitwanga nyimbo za 20percent,
Kwani man water ana uhusiano upi na magic fm?
 
ndyo maana mi huwa namkubali sana msanii mmoja anaitwa big jahman hyu jamaa ana maduka yake ya nguo kadhaa so anapush maisha bila kutegemea nyimbo yake kupigwa clouds sasa km hyu 20 parcent hana vision yoyote usela mwingi na bangi! matokeo yake ndyo hya

Jah man anauza unga 20% ananunua na kujimaliza. Ama kweli big jah man mjanja hata mi namkubali
 
Back
Top Bottom