hya ni matokeo ya kukosa vision ktk maisha kwani clouds ni nani mpk wasipopiga nyimbo yako maisha yanakuwa magum!
20% bangi zinampeleka vibaya,clouds walichomoa tangia mwanzo kupiga nyimbo zake lakini Magic walikuwa wanazitwanga tu mpaka zikavuma na hapo ndio clouds wakaona hamna jinsi maana wasikilizaji wanazirequest sana ila alivyonyea kambi ya Magic chini ya Man Maji(Water) hapo ndio kajichimbia shimo.
watu kama hawa ndio wanafanya bangi iwe haramu...la sivyo watu tungekua tunajiachia free..
watu kama hawa ndio wanafanya bangi iwe haramu...la sivyo watu tungekua tunajiachia free..
ndyo maana mi huwa namkubali sana msanii mmoja anaitwa big jahman hyu jamaa ana maduka yake ya nguo kadhaa so anapush maisha bila kutegemea nyimbo yake kupigwa clouds sasa km hyu 20 parcent hana vision yoyote usela mwingi na bangi! matokeo yake ndyo hya
clouds cku izi wana studio?
Kuna kipindi magic ilikuwa ikitwanga nyimbo za 20percent,
Kwani man water ana uhusiano upi na magic fm?
Umenigusa mkuu,nishajisemea kitambo kwamba kila mtu ajifunze kujitegemea,i mean kama umeajiriwa,hv leo ukifukuzwa kazi utaishije kama hukujipanga?