sinajinasasa
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 2,988
- 4,152
Badili stationYaani tunaosikiliza redio kupitia itune mmetuwekea matangazo mmesahau kabisa kutuunganisha na live fm wote hadi mafundi mitambo mmeungana kusikiliza udaku wa Dk.Mwaka na wake zake hadi mmesahau kazi yenu ya msingi, pumbavu sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama umepata suluhisho, POVU LA NINI SASA..!!??
Kama umepata suluhisho, POVU LA NINI SASA..!!??
bado unasikiliza redio! ungali teknolojia imekuwa kubwa kila kitu ni mtandao.
mimi napata taarifa kabla redio haijanipa.
"burudani,michezo,taarifa ya habari vyote navipata kupitia internet(sisikilizi redio mm)"
A very good TECHNICAL BULLSHIT...Wewe unaona poa kwenda kwa jirani kuangalia TV, wee wa wapi.
We hujui kuwa mkiwa wengi mnasikiliza redio redio inaweza kuzimika, au umeme bill inaongezeka
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani tunaosikiliza redio kupitia itune mmetuwekea matangazo mmesahau kabisa kutuunganisha na live fm wote hadi mafundi mitambo mmeungana kusikiliza udaku wa Dk.Mwaka na wake zake hadi mmesahau kazi yenu ya msingi, pumbavu sana
Sent using Jamii Forums mobile app
A very good TECHNICAL BULLSHIT...
😀hahaa! we unazinguaWewe unaona poa kwenda kwa jirani kuangalia TV, wee wa wapi.
We hujui kuwa mkiwa wengi mnasikiliza redio redio inaweza kuzimika, au umeme bill inaongezeka
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiwatukana hivyo Pumbavu sana kama ulivyowaambia hapa ndiyo itasaidia Kutatua tatizo lako? Kwani hao Clouds Media huwa wanatulazimisha Watu tuwasikilize au ni Sisi wenyewe tu kwa Utashi wetu binafsi ndiyo huwa tunawasikiliza? Hivi Tanzania nzima Redio ya Kusikiliza ni hiyo hiyo ya Clouds fm? Na ukisema kuwa Clouds Media wanapenda Umbea unakosea bali ukweli ni kwamba kila Binadamu ni mbea kwa Kiwango chake na usisahau Maisha ya Mwanadamu yoyote yule hayaendi bila mambo makuu mawili ambayo ni Umbea na Unafiki.
Hajitambui huyo na poor reasoning zakeUkiwatukana hivyo Pumbavu sana kama ulivyowaambia hapa ndiyo itasaidia Kutatua tatizo lako? Kwani hao Clouds Media huwa wanatulazimisha Watu tuwasikilize au ni Sisi wenyewe tu kwa Utashi wetu binafsi ndiyo huwa tunawasikiliza? Hivi Tanzania nzima Redio ya Kusikiliza ni hiyo hiyo ya Clouds fm? Na ukisema kuwa Clouds Media wanapenda Umbea unakosea bali ukweli ni kwamba kila Binadamu ni mbea kwa Kiwango chake na usisahau Maisha ya Mwanadamu yoyote yule hayaendi bila mambo makuu mawili ambayo ni Umbea na Unafiki.
Ok... zima basi redio usikilize content....
Hajitambui huyo na poor reasoning zake