Clouds Media, mnapenda sana umbea

Clouds Media, mnapenda sana umbea

sinajinasasa

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Posts
2,988
Reaction score
4,152
Yaani tunaosikiliza redio kupitia itune mmetuwekea matangazo mmesahau kabisa kutuunganisha na live fm wote hadi mafundi mitambo mmeungana kusikiliza udaku wa Dk.Mwaka na wake zake hadi mmesahau kazi yenu ya msingi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
bado unasikiliza redio! ungali teknolojia imekuwa kubwa kila kitu ni mtandao.
mimi napata taarifa kabla redio haijanipa.
"burudani,michezo,taarifa ya habari vyote navipata kupitia internet(sisikilizi redio mm)"
 
Ndo internet hiyo wameweka matangazo, au unafikiri Itune ni nini, ni app inayotumia data
bado unasikiliza redio! ungali teknolojia imekuwa kubwa kila kitu ni mtandao.
mimi napata taarifa kabla redio haijanipa.
"burudani,michezo,taarifa ya habari vyote navipata kupitia internet(sisikilizi redio mm)"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani tunaosikiliza redio kupitia itune mmetuwekea matangazo mmesahau kabisa kutuunganisha na live fm wote hadi mafundi mitambo mmeungana kusikiliza udaku wa Dk.Mwaka na wake zake hadi mmesahau kazi yenu ya msingi, pumbavu sana

Sent using Jamii Forums mobile app

Ukiwatukana hivyo Pumbavu sana kama ulivyowaambia hapa ndiyo itasaidia Kutatua tatizo lako? Kwani hao Clouds Media huwa wanatulazimisha Watu tuwasikilize au ni Sisi wenyewe tu kwa Utashi wetu binafsi ndiyo huwa tunawasikiliza? Hivi Tanzania nzima Redio ya Kusikiliza ni hiyo hiyo ya Clouds fm? Na ukisema kuwa Clouds Media wanapenda Umbea unakosea bali ukweli ni kwamba kila Binadamu ni mbea kwa Kiwango chake na usisahau Maisha ya Mwanadamu yoyote yule hayaendi bila mambo makuu mawili ambayo ni Umbea na Unafiki.
 
Nasikiliza content mkuu sio redio!

Hajitambui huyo na poor reasoning zake
 
Back
Top Bottom