Trust None
JF-Expert Member
- Feb 12, 2018
- 1,260
- 4,419
Waombe msamaha kisa nini, wakati Samia mwenyewe kajipendekeza kujitangaza kua ameshiriki chakula na watoto haoYaani mmemkosea mheshimiwa, mmemsingizia kwa ku-edit picha za 2018. Kwanini hamkuchukua picha za tukio la leo?
View attachment 1743078
View attachment 1743080
View attachment 1743081
Tazama vizuri picha, sijakataa kama ameshirikiWaombe msamaha kisa nini, wakati Samia mwenyewe kajipendekeza kujitangaza kua ameshiriki chakula na watoto hao
mbona ipo vizuri au kisa wanakula kama wa kishuaTazama vizuri picha, sijakataa kama ameshiriki
Soma vizuri ueleweWaombe msamaha kisa nini, wakati Samia mwenyewe kajipendekeza kujitangaza kua ameshiriki chakula na watoto hao
Kwani tangu lini hao watu wakawa perfect?Yaani mmemkosea mheshimiwa, mmemsingizia kwa ku-edit picha za 2018. Kwanini hamkuchukua picha za tukio la leo?
Hii picha waliyoitumia CloudsMedia, ni picha ya 2018 na tukio lilikuwa tofauti na la leo.
View attachment 1743078
View attachment 1743080
View attachment 1743081
Jikite kwenye kilicho ongelewambona ipo vizuri au kisa wanakula kama wa kishua
Wachana na hao kina kipara kipyaTazama vizuri picha, sijakataa kama ameshiriki
Hii ni 2018 kwenye kumbukumbu ya kuzaliwa.. sio ya leo wala jana.mbona ipo vizuri au kisa wanakula kama wa kishua
Aibu sanaHawa wazee wa Fursa walichelewa tu, hapo wangeenda kabisa kutoa surprise na kuimba happy birthday na kama Mama angeona inafaa hata wangemuomba kusaidia kuosha vyombo au hata kupika keki..., au Dodoma ni mbali ?
Mwalimu wangu alikuwa na kazi kunielewesha aisee.Soma vizuri uelewe
Hakuna picha ya leo hapo.Dahh...... So picha ya leo ni ipi kati ya hizo..
Maana limetrend sana hili tukio.
MATAGA safari hii hadi mrudi kwenu koromitjeWaombe msamaha kisa nini, wakati Samia mwenyewe kajipendekeza kujitangaza kua ameshiriki chakula na watoto hao
Kuna yule demu anaye jifanya Bob Marley analazimisha sana uteuzi maana tayari wana experience ya NgomaHawa nao ni wapumbavu tu,sijuhi wanatafuta teuzi,na Mama kama akiwapa teuzi chawa kama hawa atakuwa anafata nyayo za yule mpenda sifa.
hapo kidogo nimeelewa napo ni kidogo sana.Hii ni 2018 kwenye kumbukumbu ya kuzaliwa.. sio ya leo wala jana.
Ndio maana clouds wameifuta post hii baada ya kugundua wamebugi.