Clouds Media na ukabila

Clouds Media na ukabila

Status
Not open for further replies.
Kwanini clouds media ni wakabila sana. Almost wote ni wahaya na interview zao wanakuuuliza jina lako ili wajue we ni mhaya au la! Wapo wachache sana ambao siyo wahaya lakini wameajiriwa kwa bahati mbaya.
TUSIIME sc
 
Sasa mbona hawaogei kihaya kwenye vipindi vyao?

Kama ni wahaya wachana nao hao bwashehe. Hao ni kama wachina duniani. Kuna makabila hapa bongo hueezi yaepuka maana hamna mahali hutowakuta
 
Kwanini clouds media ni wakabila sana. Almost wote ni wahaya na interview zao wanakuuuliza jina lako ili wajue we ni mhaya au la! Wapo wachache sana ambao siyo wahaya lakini wameajiriwa kwa bahati mbaya.
Mbona Kaskazini ndo wamejaa pale?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom