Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Kunya anye tembo akinya bata kaarisha....mwenyekiti ndo kashachukua kiti chake hivyoo
#chekecha_cheketua
#chekecha_cheketua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili jamvi sasa mnataka kuligeuza kama jukwaa la siasa! Kule jukwaa la siasa, ukiongea kitu, may be against mtu wa UKAWA, utaambiwa gamba... na halikadhalika kama utaongea kitu against mtu wa CCM au CCM wenyewe utaambiwa upo UKAWA! Haya ni mawazo potufu, ambao kwa wenye kufuatilia jukwaa la siasa, hawezi kuchelewa kugundua kule kumejaa watu na stress zao! Hayo, ndiyo unayoleta wewe! Yaani kwavile tu mleta mada ameleta hoja in favor of Diamond, tayari umesham-brand kwamba Team Mond!!! Maajabu sana haya... umetumia vigezo gani? Bila shaka kama angeongea in favor of Kiba, ungemuita Team Kiba! Hivi unaweza kutaja sababu za msingi kabisa zilizokufanya umnasibishe na Team Mond pamoja na kwamba mwenyewe ameshaweka wazi kwamba yeye hayupo kambi yoyote? Humu jamvini kuna uzi kwa ajili ya mashabiki wa Diamond. Hebu nenda kamtafute huyo mleta mada kama utamkuta kule!Wivu tu unawasumbua... hao ni team mond ndo wanaweweseka. Kwa taarifa yako hiyo tour kailipia ndio maana unaona ina promo ya kutosha.