Clouds Media ni ya kutambulishia audio wakati EATV ni kwa ajili ya kutambulisha video

Clouds Media ni ya kutambulishia audio wakati EATV ni kwa ajili ya kutambulisha video

Rahisi sana Chief.. Wengi huweka tv e kwa sababu ya vipindi vya muziki mfululizo.. Na /tv e wameamua kuwekeza huko..na maeneo ulotaja muziki "non stop" ndo mahali pake sahihi.

Clouds tv ni wakongwe zaidi ya tv e. Hilo ni faida kwao

Style ya kurusha matangazo yao ni ya kibunifu inayofanya wasipoteze watazamaji wao

Pia clouds tv inabebwa sana na brand ya clouds fm.. Automatically wafuatiliaji wa clouds fm wanajikuta wanafuatilia clouds tv

Asilimia kubwa ya wasikilizaji wa efm ni wanaofuatilia vipindi vya michezo. Wakati tv e ni wafuatiliaji wa muziki.

Clouds tv ina watazamaji wengi zaidi kwa sasa kwa sababu ya coverage kubwa. Imefika maeneo mengi zaidi kuliko tv e..

Angalia idadi ya wadhamini kwenye vipindi vya clouds na tv e. Utagundua clouds tv ina wadhamin wengi.Siku zote Wadhamini wanaweka mpunga wa ktosha kwenye vipindi vyenye watazamaji wengi

Kiujumla angalia idadi ya vipindi vinavyofuatiliwa na watu wengi kwa kila tv, ukubwa wa eneo ambalo tv zote mbili zimekwishafika na style ipi ya urushaji wa matangazo inawavutia watu wengi zaidi kwa tv zote mbili Utagundua ipi ina watazamaji wengi zaidi

Hata hivyo tv e bado inakuwa.

Umeeleweka vyema
 
Eeeeeeeh
Nani alikuambia nakuchukia!!!.. ila naona vibani vinakubadili unaporudi.. safi sana kuwa unajiongeza mtoto wewe.. ha ha ha haaaa
Si ulikuwaga unaniombeaga nipigwe ban
 
Eeeeeeh

Niache mie.. ila si ndio ubadilike mbona unakula ban kila wakati!! Kulikoni?
Wengine na sie hatujui hayo humu..
Mods huwa wananionea sana huwa wananipiga ban bila sababu
 
EA radio bado coverage yake haijafika sehemu nyingi Lakini EA TV inafikia maeneo mengi
 
Mimi "the Cruise" nainjoi sana.
IPO wazi EATV wapo very professional, kwenye TV za burudani hakuna anayewakaribi. Ila kwa redio Clouds wako poa sana. Hivyo basi kwa TV EATV the best Clouds tv haoni ndani. Na kwa redio Clouds wako the best kuliko EA radio. Ingawa EA radio walikuwa bora sana, sahizi na wao wameingiza uswahili, ingawa kipindi cha jioni cha Drive mi ni msikilizaji wao namba moja. Nakipenda sana
 
Kwa upande wa TV platform EATV wako vizuri sana kuwazidi Clouds, yaani kiki yake kwa upande wa videos ukienda pale kwa bwana sam misago inakuwa iko juu mnoo kama youtube vile
 
Kwa upande wa TV platform EATV wako vizuri sana kuwazidi Clouds, yaani kiki yake kwa upande wa videos ukienda pale kwa bwana sam misago inakuwa iko juu mnoo kama youtube vile
Samisago ni noma sana
 
Umejijibu mwenyewe mawingu inawasikilizaji wengi kuliko watazamaji na EATV inatizamwa na wengi kuliko wanosikiliza,
 
Back
Top Bottom