Clouds Media yapigwa gepu na Wasafi Media YouTube

Clouds Media yapigwa gepu na Wasafi Media YouTube

Dong Jin

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2018
Posts
968
Reaction score
2,034
Kama yale yalokuwa yakiongelewa sana kuhusu anguko la cloudss yanaanza kutokea taratiibuuu....
Hii inatokana na gepu kubwa la subscribers huko Utube licha ya kuwa clouds media ilianza kitambo na wasafi media imeanza mwaka huu....
Tutazame picha kidogo
■WASAFI MEDIA
Screenshot_20181218-100400.png

■CLOUDS MEDIA
Screenshot_20181218-100416.png
 
Kama yale yalokuwa yakiongelewa sana kuhusu anguko la cloudss yanaanza kutokea taratiibuuu....
Hii inatokana na gepu kubwa la subscribers huko Utube licha ya kuwa clouds media ilianza kitambo na wasafi media imeanza mwaka huu....
Tutazame picha kidogo
■WASAFI MEDIA
View attachment 971044

■CLOUDS MEDIA
View attachment 971043
Clouds ajaribu kwengine huku kwenye mitandao imekula kwake mzee
 
Uzi wako mwingine niliokwambia kule ni huu hapa!
 
Anguko la clouds linapimwa kutoka na youtube subscribers?[emoji15] . Basi Ayo tv itaiangusha Wasafi maana ina subscribers wengi kuliko wasafitv. By the way, hivi shule zinafunguliwa lini?
Wewe ndiyo hujui, vituo hivi vya media vinatengeza pesa pitia viwers, ukiwa na viwers wengi ndipo unapopata matangazo mengi pia viwers walio subscribe kila waki viwe wanaipatia mapato media,
 
Wasafi bila kiki za kindezi hawana lolote

Nowadays if your opinion isn’t feeding their ego you’re a hater.
 
Wasafi bila kiki za kindezi hawana lolote

Nowadays if your opinion isn’t feeding their ego you’re a hater.
Hizo hizo kiki za kindezi ndiyo zinazo waingizia mkwanja, njia yoyote utakayoitumia cha msingi unaingiza mkwanja
 
Same to clouds so msiombee kufa kwa biashara za wenzenu mkidhan ya kwenu itadumu
Hizo hizo kiki za kindezi ndiyo zinazo waingizia mkwanja, njia yoyote utakayoitumia cha msingi unaingiza mkwanja
 
Baada ya kushindwa kings music wameamia clouds huu mwaka wenu mtapata tabu sana
 
Back
Top Bottom