Mafanikio unayapima kwa nini wakati muhusika ambaye ndiye mfanyakazi anadai anaibiwa? Hivi unamjua Lil Wayne ushawahi angalia MTV cribs pamoja na kuwa na magari ya thamani, cheni na hekalu lakini bado akamtuhumu Birdman amemuibia, akamwambia hawezi toa album mpaka alipwe dollar mil 56 na kweli Birdman akaamua kumpa hisa zake za Cash money Lil Wayne sasa hivi animiliki kwa 100% . So ww unaweza kumuona mtu kafanikiwa lakini yy akiyapima ndipo anajua anaibiwa. Michael Jackson pamoja na mafanikio yake lkn alikuwa analalamika SONY wamemuibia, ina maana Michael Jackson au Lil Wayne ni waongo.