Tuzidi kuwa wavumilivu katika kipindi hiki cha mpito.Shule zitafunguliwa 7 January 2019
NaUnGa mKoNo hOjA....[emoji30][emoji30][emoji30]Tuzidi kuwa wavumilivu katika kipindi hiki cha mpito.
Clouds ajaribu kwengine huku kwenye mitandao imekula kwake mzeeKama yale yalokuwa yakiongelewa sana kuhusu anguko la cloudss yanaanza kutokea taratiibuuu....
Hii inatokana na gepu kubwa la subscribers huko Utube licha ya kuwa clouds media ilianza kitambo na wasafi media imeanza mwaka huu....
Tutazame picha kidogo
■WASAFI MEDIA
View attachment 971044
■CLOUDS MEDIA
View attachment 971043
Kuponda sio uungwana, ebu anzisha yako nzuri basiThread ya hovyo hovyo hii
Wewe ndiyo hujui, vituo hivi vya media vinatengeza pesa pitia viwers, ukiwa na viwers wengi ndipo unapopata matangazo mengi pia viwers walio subscribe kila waki viwe wanaipatia mapato media,Anguko la clouds linapimwa kutoka na youtube subscribers?[emoji15] . Basi Ayo tv itaiangusha Wasafi maana ina subscribers wengi kuliko wasafitv. By the way, hivi shule zinafunguliwa lini?
.Kama yale yalokuwa yakiongelewa sana kuhusu anguko la cloudss yanaanza kutokea taratiibuuu....
Hii inatokana na gepu kubwa la subscribers huko Utube licha ya kuwa clouds media ilianza kitambo na wasafi media imeanza mwaka huu....
Tutazame picha kidogo
■WASAFI MEDIA
View attachment 971044
■CLOUDS MEDIA
View attachment 971043
Hizo hizo kiki za kindezi ndiyo zinazo waingizia mkwanja, njia yoyote utakayoitumia cha msingi unaingiza mkwanjaWasafi bila kiki za kindezi hawana lolote
Nowadays if your opinion isn’t feeding their ego you’re a hater.
Hizo hizo kiki za kindezi ndiyo zinazo waingizia mkwanja, njia yoyote utakayoitumia cha msingi unaingiza mkwanja