Adui muombee njaa, it is free market the competition is stiff hatutaki monopoly system ili wapange nani atoke kimziki poor system na hatutaki vituo kama clouds kudidimiza vipaji kisa umonopoly na mifumo ya ukandamizajiSame to clouds so msiombee kufa kwa biashara za wenzenu mkidhan ya kwenu itadumu
HahaaShule zitafunguliwa 7 January 2019
NakaziaTuzidi kuwa wavumilivu katika kipindi hiki cha mpito.
Mnaombwa muwe wastahimilivu na wavumilivu kwa kipindi hiki cha mpito....Hahaa
Sawa mwenye kiti tutaongeza ustahamilivu ..Mnaombwa muwe wastahimilivu na wavumilivu kwa kipindi hiki cha mpito....
Adui muombee njaa, it is free market the competition is stiff hatutaki monopoly system ili wapange nani atoke kimziki poor system na hatutaki vituo kama clouds kudidimiza vipaji kisa umonopoly na mifumo ya ukandamizaji
Shule zitafunguliwa 7 January 2019
Tuzidi kuwa wavumilivu katika kipindi hiki cha mpito.
Thread ya hovyo hOTE]
Mnavokuwa watu wazima inabid mjitahidi na kutumia akili ya ziada zaidi maana hata kuona hamuoni.... czani km mnaeza kuwa na lepe la busara
Ukiwa na kipaji kikubwa na nidhamu hakuna media itakayokuzuia kutoka....wasanii wengi average tu...Adui muombee njaa, it is free market the competition is stiff hatutaki monopoly system ili wapange nani atoke kimziki poor system na hatutaki vituo kama clouds kudidimiza vipaji kisa umonopoly na mifumo ya ukandamizaji
Tanzania ili uonekane una nidhamu lazima ukubali kunyonywa,sasa wengine ni wanajua thamani ya kile wanachokifanya,ndio ugomvi unaanza hapo hivi mtu kama Lady jay dee utasema hana nidhamu.Tatizo media ndio waandaji matamasha ,kwao malipo yao ni promo na ubaya redio siku hizi nazo zimekuwa na ushabiki .Ukiwa na kipaji kikubwa na nidhamu hakuna media itakayokuzuia kutoka....wasanii wengi average tu...
Ayo nayo Ni tv,Rudi memkwa ukale desa ebooooohAnguko la clouds linapimwa kutoka na youtube subscribers?[emoji15] . Basi Ayo tv itaiangusha Wasafi maana ina subscribers wengi kuliko wasafitv. By the way, hivi shule zinafunguliwa lini?
Mtu ananyonywaje anakua na mafanikio?Tanzania ili uonekane una nidhamu lazima ukubali kunyonywa,sasa wengine ni wanajua thamani ya kile wanachokifanya,ndio ugomvi unaanza hapo hivi mtu kama Lady jay dee utasema hana nidhamu.Tatizo media ndio waandaji matamasha ,kwao malipo yao ni promo na ubaya redio siku hizi nazo zimekuwa na ushabiki .
Mafanikio unayapima kwa nini wakati muhusika ambaye ndiye mfanyakazi anadai anaibiwa? Hivi unamjua Lil Wayne ushawahi angalia MTV cribs pamoja na kuwa na magari ya thamani, cheni na hekalu lakini bado akamtuhumu Birdman amemuibia, akamwambia hawezi toa album mpaka alipwe dollar mil 56 na kweli Birdman akaamua kumpa hisa zake za Cash money Lil Wayne sasa hivi animiliki kwa 100% . So ww unaweza kumuona mtu kafanikiwa lakini yy akiyapima ndipo anajua anaibiwa. Michael Jackson pamoja na mafanikio yake lkn alikuwa analalamika SONY wamemuibia, ina maana Michael Jackson au Lil Wayne ni waongo.Mtu ananyonywaje anakua na mafanikio?
Tofautisha kuibiwa na makubaliano ya kibiashara lil wyne hakuibiwa ila walikua wanatofauti wa kibiashara kati ya Young Money na Cash money na pia Birdman hajampa lil wyne hizo hisa unazosema kwanza cash.money ilikua inamilikiwaga na.kaka yake Birdman so hapo umepotosha.Mafanikio unayapima kwa nini wakati muhusika ambaye ndiye mfanyakazi anadai anaibiwa? Hivi unamjua Lil Wayne ushawahi angalia MTV cribs pamoja na kuwa na magari ya thamani, cheni na hekalu lakini bado akamtuhumu Birdman amemuibia, akamwambia hawezi toa album mpaka alipwe dollar mil 56 na kweli Birdman akaamua kumpa hisa zake za Cash money Lil Wayne sasa hivi animiliki kwa 100% . So ww unaweza kumuona mtu kafanikiwa lakini yy akiyapima ndipo anajua anaibiwa. Michael Jackson pamoja na mafanikio yake lkn alikuwa analalamika SONY wamemuibia, ina maana Michael Jackson au Lil Wayne ni waongo.
Tatizo lako mbishi kwani wabunge wa upinzani wanalalamika mikataba (makubaliano) ipitiwe upya kwa sababu gani? Kwani mkiwa na makubaliano huwezi ubiwa? Ina Michael Jackson na Lil Wayne hawakuingia makubaliano yoyote? We wenyewe unakubali wametofautiana na kutofautiana kwenyewe ni kuibiwa sasa unakataa nini. Kuna sehemu nimesema vijana wa WCB wana nyonywa mbona unahamisha magoli.Tofautisha kuibiwa na makubaliano ya kibiashara lil wyne hakuibiwa ila walikua wanatofauti wa kibiashara kati ya Young Money na Cash money na pia Birdman hajampa lil wyne hizo hisa unazosema kwanza cash.money ilikua inamilikiwaga na.kaka yake Birdman so hapo umepotosha.
Tunavyofanya biashara kwamba wewe nikutangaze kama msanii na kukupromote lazima na mim nipate faida either uchukue 40% na mim nichukue 50% maana mim ndie nagharamikia kila kitu sasa unapoona umeshakua we ondoka waje wengine.
Labda nikuulize swali kijana hao.vijana wa WCB wananyonywa au hawanyonywi
Kijana jibu kwa hoja, haya tuassume hatujaingia makubaliano yoyote mimi ni underground na wewe ni media au promoter unatakiwa unipromote mim niwe msanii mkubwa kama wew ungefanyaje ili mimi niridhike.Tatizo lako mbishi kwani wabunge wa upinzani wanalalamika mikataba (makubaliano) ipitiwe upya kwa sababu gani? Kwani mkiwa na makubaliano huwezi ubiwa? Ina Michael Jackson na Lil Wayne hawakuingia makubaliano yoyote? We wenyewe unakubali wametofautiana na kutofautiana kwenyewe ni kuibiwa sasa unakataa nini. Kuna sehemu nimesema vijana wa WCB wana nyonywa mbona unahamisha magoli.