Clouds Media yapigwa gepu na Wasafi Media YouTube

Wewe ndiyo hujui, vituo hivi vya media vinatengeza pesa pitia viwers, ukiwa na viwers wengi ndipo unapopata matangazo mengi pia viwers walio subscribe kila waki viwe wanaipatia mapato media,
Yani clouds watafute matangazo kwa viewers kweli? Kweli Shule zifunguliwe tu
 
Mbona nishakujibu kama unajibu lako niambie.Huo mfano wako ili ww ulizike inabidi ww uniambie unataka nini? Sasa ww msanii mchanga haya niambie unataka nini? ili na mm nikujibu.
 
Nafikiri nitakua natumia akili sehemu ambayo sio, pia naomba utafute uhusiano kati ya SONY Music na Michael Jackson ili tuweze kuenda sawa
 
Wewe ndiye msanii inabidi utafute, kijana principle ya kufanikiwa katika maisha lazima ujijue unataka nini, sasa kutaka utake ww kutafuta nitafute mimi.
 
Usipotoshe GT kwa maneno ya mitaani Lil wyne kumiliki hisa za Cash money 100%, Michael Jackson kulalamikia sony wanamuibia katafute mmiliki wa Sony Music alikua ni.nani?
 
Au sio maskio yangu si diamond na rayvanny wamefungiwa leo
 
Usipotoshe GT kwa maneno ya mitaani Lil wyne kumiliki hisa za Cash money 100%, Michael Jackson kulalamikia sony wanamuibia katafute mmiliki wa Sony Music alikua ni.nani?
Habari ya Lil Wayne nimeona humu mtandaoni source nimeisahau. Sasa nikijua mmiliki ndio itaondoa kwamba Michael Jackson hajaibiwa, kwani Michael Jackson anaingia mkataba na Sony au mmiliki.
 
Wewe ndiyo hujui, vituo hivi vya media vinatengeza pesa pitia viwers, ukiwa na viwers wengi ndipo unapopata matangazo mengi pia viwers walio subscribe kila waki viwe wanaipatia mapato media,
Oky! Tufanye wewe ndio unajua, hivi cloudstv ni online tv? Next time mkileta habari za youtube shindanishen lemutuzTv na daudaTv. Kwa maana hiyo AyoTv ni tishio kwa wasafiTv kwa sababu AyoTv ina subscribers wengi?
 
Ayo nayo Ni tv,Rudi memkwa ukale desa eboooooh
Jifunze kuandika kiswahili vizuri maana upo kidato cha kwanza achana na uandishi wa shule ya msingi. Ingia TCRA then tafuta online TV’s then rudi kwenye uzi ulioniquote urekebishe upuuzi wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…