ona kitambi chake kilivyo kikubwa ukiacha wewe ndo nini kama huna cha kuandika kaa punguza kitambi!na iyo sio avatar ni picha yako halisi.hakuna kitu kibaya kama nguvu ya umma. Kuna vitu mnavyofanya kwa wasanii vinatukera sana sisi wasikilizaji wa radio yenu kama kuendeleza ugomvi na wasanii.
Binafsi naacha rasmi kusikiliza radio yenu leo tarehe 15/06/2013 ma kama kuna watu mnaniunga mkono gonga like hapa
wenzako 2liacha zamani!
Mkuu binafsi niliacha muda mrefu. Si kwasababu ya bifu na wasanii ila niligundua unatakiwa kuwa na akili ya uendawazimu ili uweze kuelewa hoja za watangazaji hasa Ki..nde. Niliacha wakati hata Gadna bado yupo pale nasikia naye alisha hama. Sijazoea maisha ya kufanya kazi kwa kujikomba kwa watu. Call a spide a spide, sasa watangazaji wake ilifikia hatua wanachangia hoja kama hawana akili kumkichwa. Nikaona si vema kung'ang'ania redio yao nikapiga chini hadi Tv. Nikianza kuchambua udhahifu wa watangazaji wake haitakuwa poa itaonekana nawashambulia personally. Sioni nilichopungukiwa hadi sasa.
Bado wanayo nafasi ya kujirekebisha na kufanya vizuri. Si jambo zuri kusikia watu wengi wanakulalamikia nawe usichukue hatua ya kujitathmini.
ona kitambi chake kilivyo kikubwa ukiacha wewe ndo nini kama huna cha kuandika kaa punguza kitambi!na iyo sio avatar ni picha yako halisi.
kama kweli uliacha kusikiliza zamani just nitajie redio ambayo kwa sasa unaipenda na kusikiliza,nitajie vipindi vyake japo vinne,watangazaji wa vipindi na muda wa vipindi then linganisha ubora wake na vipindi japo viwili tu vya clouds media.
Nyie mnaojifanya kuichukia Clouds ndiyo wasikilizaji nambari wani kabisa na ndiyo wa kwanza kuleta vijimada vyenu huku kuhusu Clouds.
Acheni uongo na unafiki wenu.
Ephraim Kibonde ( Bwa'Nchuchu) una kazi kweli kudefend pasipo difendika
Na nyie mna kazi kweli ya kuskiza na kufuatilia redio mnayodai hamuipendi kumbe uongo mtupu! Mnajua kila linaloendea.
nasubiri siku makampuni makubwa yanayopeleka matangazo ya biashara kwenye hicho kituo yatangaze kuacha kupeleka matangazo huko ndipo tujadili kifo yao but kwa sasa no ting wil change