Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
we si ndo upo hum ndani kutujuza kinachoendelea.....
Lini mimi nimejitwisha jukumu la kuwajuza? Nyie ndo huwa mnasikiliza na kufuatilia religiously na kukimbilia kuja kubandika utumbo wenu hapa.
Mtatumika sana na bwana Rugay mwaka huu
Na nyie mtakereka hadi kiama Clouds haiendi popote na itaendelea kuwa Super Brand kwa muda mrefu sana ujao. Naomba tu msiache kusikiliza na kufuatilia yajiriyo.