Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
we si ndo upo hum ndani kutujuza kinachoendelea.....
Mtatumika sana na bwana Rugay mwaka huu
Lini mimi nimejitwisha jukumu la kuwajuza? Nyie ndo huwa mnasikiliza na kufuatilia religiously na kukimbilia kuja kubandika utumbo wenu hapa.
Na nyie mtakereka hadi kiama Clouds haiendi popote na itaendelea kuwa Super Brand kwa muda mrefu sana ujao. Naomba tu msiache kusikiliza na kufuatilia yajiriyo.
yaani hata hujui Rugay anakulipa kwa kazi gani humu JF
maana unatetea utumbo tu........
Silipwi na mtu mimi na sina haja ya kulipwa kwani najiweza kuliko kawaida na Clouds hawawezi kunilipa mimi.
anaejiweza kuliko kawaida anajisemaga.......
next time msirudie drama zenu kwa Anaconda
Mimi najiweza ndugu na hilo halina shaka kabisa!
Action speak louder than words
I wish I could believe you
You don't have to believe me. You don't have to accept it. And I'm not obligated to show or prove it to you.
What is mine is mine and mine alone.
then why do you insist kwamba una pesa
what is yours is yours alone kwanini mlikuwa mnataka kumharibia dada
wa watu show yake
by the way nimechoka kujibizana na kina Rugay.......
I didn't insist. You made a false claim that somehow Ruge or Clouds pay me and that's when I retorted that they can't pay me. And yes, I do have money because I come from money. Take that.
I didn't insist. You made a false claim that somehow Ruge or Clouds pay me and that's when I retorted that they can't pay me. And yes, I do have money because I come from money. Take that.
kibaraka tu wewe kaoge ukojoe ulale :heh::heh:
You made a false claim and I retorted. Unabisha?
yaani hata hujui Rugay anakulipa kwa kazi gani humu JF
maana unatetea utumbo tu........
nabisha cos inaonekana wwe ni muongo mtakatifu
I rest my case!
we rest our cases then!!!!!!!!
next time usiwe unashabikia ujinga tu
Maana yake ni umeona ulipochemka. Safari ijayo uwe unakumbuka unayoandika. Usirudie tena.