Elections 2010 Clouds mnajiandaaje kupokea ushindi wa Mr. II (Sugu) ?

Elections 2010 Clouds mnajiandaaje kupokea ushindi wa Mr. II (Sugu) ?

Ukitaka kujua kama Sugu ana bif na clouds sikiliza album yake ya Antivirus kama huna nitafute, amewapaka vilivyo, KWA KIFUPI TUMUOMBEE SUGU ASIJE KUBORONGA MAANA ITAKUA TOTAL FAILURE TUTAKOSA PA KUJIFICHA WANA CHADEMA.
 
Hongera Sugu. Kila la kheri kwenye fani yako mpya, although tutakumis jukwaani.

Tuache ushabiki. Sugu has no clue what to do as a mbunge. Dude has to learn fast. It will be interestiiiiiing. He is incumbent now. We are watching. And expecting a lot from you.

Bora hata Sugu, Godbless Lema ndio even worse. Huyu jamaa pamoja na utapeli wake, mjengoni ataenda kufanya nini? Seriously? Watu wamempiga chini Dr. Buriani ili kumuweka Lema. Hizi siasa hizi.

Poor mind!!! kwani jukwaani alivyokuwa anomba kura ulimsaidia kuwaeleza watu wake atakachowafanyia akipata ubunge? Ndo keshashinda hivo kameze wembe!!!:yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield:
 
Clouds mnajiandaaje kupokea ushindi wa Mr. II (Sugu) ?

I think wanajiandaa kuomba uemc katika sherehe yake.......:bowl::bowl::bowl::bowl::bowl::bowl::bowl::bowl::bowl:
 
Back
Top Bottom