Clouds mnatumika na Yanga kuharibu biashara ya jezi za Simba

Clouds mnatumika na Yanga kuharibu biashara ya jezi za Simba

Kwa nini unasema ni mashabiki "wanaojidai" kuwa ni wa Simba! unawajua?. Tusiwe tunawapangia watu namna ya kufikiri au kutoa mawazo yao.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app

Hata hapa jf kuna watu wanaanzisha uzi wakuiponda Simba wakijifanya ni mashabiki wa simba, na wengine huponda kitu flani yanga wakijifanya ni mashabiki wa Yanga!!
 
Back
Top Bottom