Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaanza kuongea maneno machafu... usilete ujanja wa kuiga au limbukeni wa social networks!!!Sasa Tangia Jide aachane na clouds ..unafikil nimiaka mingapi...na unafikil anaishije...jide sio mwenzako Gadina mwenyewe alifukuzwa na jide ...alikuwa ana anachomiliki zaidi ya box la cd ...we usimchukulie pow Jide ...yaan Jide anamafanikio makubwa sio mchezo since day one...Sasa wewe unaleta ushabiki wako wa ulanzi...kumbe ukwel unaujua....
Haya mambo ni zaidi ya kuwa na media ngapi bali it's all about understanding the industry!Uwoga tyu wa maisha na kutoumiza kichwa kwani media ipo moja ?
Kama upo sawa na ni haki yako hakuna hata ya kuomba msamaha ✌ !!
Jide utajir wake kaupata kutokana na juudi zake za kaziUnaanza kuongea maneno machafu... usilete ujanja wa kuiga!!! Jibu nilichokuuliza! Na umeshindwa kujibu kwa sababu hujui lolote kwenye haya mambo to the point hata nikikuuliza huo utajiri wa Jide ni upi sidhani kama unaweza kujibu though hoja ya msingi ni kwamba huo utajiri unaodai anao; aliupata wakati upi!!!! Jibu hilo swali; kama huna jibu, piga kimya!!
Kuna kauli ameiongea Ruby kiukweli kama ndio Wasanii wanavyofanyiwa hivi? Bac balaa! Kauli yenyewe n kuhusu Ruge alimkuta cjui eneo gan Ruby nanukuu "Wee Ruby unafanya nini huku wakati wenzio wapo ktk Fiesta muda huu?!" .. Ruby "Ni Masrai" Duu! Utadhan Mwalim wa Zamu anamfokea Mwanafunzi aliekuwa chimbo kumbe n Mwana muziki !!
Ila Ruby umezengua kwenda clouds kuomba msamaha..ila Pamoja nakuomba msamha..utapotezwa kwenye game na awo awo...msimamo kitu muhimu ..ulibidi uwe kama Lady Jaydee A.k.A komando.
hapo ndo uchat nae ndo utachoka labda(lbda), pamoja(pa1), sawa/poa(k) hawa me huwa kina Stella Njimbwi mimi huwa siwaelewi kabisa, mimi huishia kuwaambia tu "nitakutafuta baadae nina kazi mda huu" kumbe namkwepa simuelewiHivi haya maandishi yenu mnaandikaje jamani.
Kwani ukitulia ukaandika vizuri kwa ufasaha inakuaje Stella.
Kuna kauli ameiongea Ruby kiukweli kama ndio Wasanii wanavyofanyiwa hivi? Bac balaa! Kauli yenyewe n kuhusu Ruge alimkuta cjui eneo gan Ruby nanukuu "Wee Ruby unafanya nini huku wakati wenzio wapo ktk Fiesta muda huu?!" .. Ruby "Ni Masrai" Duu! Utadhan Mwalim wa Zamu anamfokea Mwanafunzi aliekuwa chimbo kumbe n Mwana muziki !!
Ila Ruby umezengua kwenda clouds kuomba msamaha..ila Pamoja nakuomba msamha..utapotezwa kwenye game na awo awo...msimamo kitu muhimu ..ulibidi uwe kama Lady Jaydee A.k.A komando.
Hujui lolote kuhusu Jide...Jide utajir wake kaupata kutokana na juudi zake za kazi
Jide kaanza mziki mwaka 1996 sasa sionj unachozungumza kama kina Mantiki yeyote..
Jide anamiliki mgahawa wake
Jide ni mwanziki since 1996
Jide anamiliki Nyumba ya kisasa hapa dar
Jide anamiliki gari zakutembelea sio chink ya 5
Sasa na wewe tuletee reference yako ya wasanii ambao wako chini ya Ruge...tuone wanamiliki kitu gani?
hapo ndo uchat nae ndo utachoka labda(lbda), pamoja(pa1), sawa/poa(k) hawa me huwa kina Stella Njimbwi mimi huwa siwaelewi kabisa, mimi huishia kuwaambia tu "nitakutafuta baadae nina kazi mda huu" kumbe namkwepa simuelewi
Sawa mimi nakubalii fitina ujanja ujanja how industry works wanajua wao ndio ukubali kuwa chini ya mti wakati kipaji unacho !?Haya mambo ni zaidi ya kuwa na media ngapi bali it's all about understanding the industry!
Huyu Ruby alianza ku-side na EFM na kuna mtu niliwahi kumwambia hapa kwamba though Majizzo yupo kwenye industry kwa muda mrefu lakini kuna tofauti kati ya kuwa kwenye industry na kufahamu how industry works. Aidha, unaweza kuwa mwanamuziki mkongwe na bado usiwe na uelewa mkubwa wa jinsi biashara ya muziki inavyoenda!!
So, anachowapiga watu bao Clouds ni kwamba, si tu wapo kwenye industry kwa muda mrefu bali pia wanafahamu jinsi industry inavyofanya kazi... wanafahamu fitina zote kwenye tasnia husika! So, hii ni zaidi ya kumiliki radio na kupiga nyimbo zako!
KIPAJI, narudia with bold, KIPAJI means nothing kwenye haya mambo and what matters ni uelewa wa tasnia ya burudani, iwe muziki au filamu!Sawa mimi nakubalii fitina ujanja ujanja how industry works wanajua wao ndio ukubali kuwa chini ya mti wakati kipaji unacho !?