Clouds na washirika wake wanamwaga hela huko

Uhuru24

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2015
Posts
4,112
Reaction score
4,361
Niko ndani nasikia kwa jirani yangu hapa kwamba anatazama tv, lakini kipind kilichopo hewani ni 3mzuka.Sasa wanapigiwa washindi wao ambao wameshinda tatu mzuka, sasa jinsi mtu anvyopokea tukio la kushinda mill 60,mmmmmmmhhhh!!!!.
Yaaan kwanza mshindi hana mfanano kabisa na hizo mil60, yaaan like a cinema zetu vileeee, harafu kwa muda mfupi mtu kashinda million 60,mwingine kashinda million 6,mwingine kashinda cjui 20,000,.000 million
NB:MWENYE KUJUA HILI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo millioni ni shilingu au mchanga? Pesa halali haigaiwi kiholila namna hiyo
 
ina maaana wewe hujui Biashara ya Bahati na sibu au una bwabwaja tu
 
biko biko nyngne hyo

Sent from my Android phone
Baada ya kuona BIKO Wanapiga pesa, na wao wamekuja na 3MZUKA.

- Wabongo kazi KUHARIBIANA tu, WIZI, ULOZI, TAMAA na KUIGANA IDEA. Akili ndogooo
 
Baada ya kuona BIKO Wanapiga pesa, na wao wamekuja na 3MZUKA.

- Wabongo kazi KUHARIBIANA tu, WIZI, ULOZI, TAMAA na KUIGANA IDEA. Akili ndogooo
hzo jero jero wanazipga kweli

Sent from my Android phone
 
Wote hao wamejipanga.
Hali ngumu sasa hivi. Mtaibiwa sanaa kipindi hii aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…