Clouds pajengwe mnara wa kumbukumbu ya Historia?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Ingependeza kwa ajili ya vzazi vjavyo kuja kujifunza historia kwa lile tukio ambalo halijawahi kutokea ktk historia ya nchi yetu.Kadhalika mnara huo unaweza kuwa chanzo cha mapato kwa watalii wa ndani na wanasiasa vijana watakaopenda kutembelea maeneo ya kihistora.Karibu kwa mchango wa mawazo!
 
Labda ujengwe mnara wa Bashite akiwa ameikumbatia "Pombe"
 
Kama hapo patejengwa wa historia na Koromije pajengwe wa nini mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…