Clouds Radio: Kutoshiriki Fiesta kwamnyima tuzo Diamond

ubarinolutu

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2012
Posts
2,424
Reaction score
4,954
Habarini wana jamvini.
Leo toka asubuh nimekuwa nikisiliza vipindi mbali mbali katika radio yetu pendwa ya clouds fm, na moja ya vitu nilivosikia kutoka kwa watangazaji mbali mbali wa station hyo ni kutoa sababu kwanini wasanii wetu ali kiba na diamond wamekosa tuzo.

Sababu walizotoa ni kwamba ili kuweza kupata kura unapaswa kuwa karibu na mashabiki nchi nzima, na kwamba njia ya kuwafikia mashabiki kiurahsi ni kupitia tamasha la Fiesta ambalo lipo nchi nzima. Diamond na ali kiba kutoshirik fiesta imemnyima kura nyingi walisema watangazaji hao.
Sasa mi celewi kama kweli hii inaweza kuwa sababu, pia inaonekana clouds wanaumia kutokuwa na wasanii hawa katika fiesta. Je ndo dalili za kumshusha mond zimeanza

Mi naona kuna mambo mengi nyuma ya pazia kama alivosema eddykenzo, kuna harufu ya mchezo mchafu. Pia diamond inaonekana wazi wasanii wenzake hawafurahishwi na mafanikio yake.

Vote for Kiba best african act

======
 
clouds radio ndo vi nini??
 
are they to be celeb..!
 
Kama mliangalia programme nzima, kuna kitu kimepangwa kuwakosesha wasanii toka tz, mpango mzima unaonekana pale yule presenter alipowataka wenzake waliokuwa wadada watatu waki present wachague msanii wa kukaa nae, wengi mnaweza msielewe ilikuwa ni nini, lkn ilikuwa ni yemi alade aende kukaa na Dimond. Ilikua ni mpango umeandaliwa kwenda kumliwaza! Wengi mtakuwa hamuelewi lkn mpango ndio huo, labda imeonekana TZ tunashinda sana katika fani za mambo mengi, big brother n.k, ikaonekana this time tukose, sababu zinaweza kuwa ni nyingi. Lkini itabakia wanamuziki wetu wamefanya vizuri sana mwaka huu pengine kuliko hata huko nyuma. Na siamini tumekosa hivi hivi, mpango umeandaliwa mahsusi kabisaa.
 
Huu ni upumb.avu wa hali ya juu. Tangu lini kushiriki fiesta imekuwa ni kigezo kinachotumika ili kushinda tuzo!? Washiriki wangapi wa fiesta wameshinda tuzo!? Clouds waache akili mbovu ya kuongea vitu ambavyo havina kichwa wala miguu.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…