Kama mliangalia programme nzima, kuna kitu kimepangwa kuwakosesha wasanii toka tz, mpango mzima unaonekana pale yule presenter alipowataka wenzake waliokuwa wadada watatu waki present wachague msanii wa kukaa nae, wengi mnaweza msielewe ilikuwa ni nini, lkn ilikuwa ni yemi alade aende kukaa na Dimond. Ilikua ni mpango umeandaliwa kwenda kumliwaza! Wengi mtakuwa hamuelewi lkn mpango ndio huo, labda imeonekana TZ tunashinda sana katika fani za mambo mengi, big brother n.k, ikaonekana this time tukose, sababu zinaweza kuwa ni nyingi. Lkini itabakia wanamuziki wetu wamefanya vizuri sana mwaka huu pengine kuliko hata huko nyuma. Na siamini tumekosa hivi hivi, mpango umeandaliwa mahsusi kabisaa.