jameskwene
Member
- Jul 24, 2014
- 44
- 18
Huyo aliyesema hivyo ni kichaa kabisa na pengine anapaswa kupimwa akili.Habarini wana jamvini.
Leo toka asubuh nimekuwa nikisiliza vipindi mbali mbali katika radio yetu pendwa ya clouds fm, na moja ya vitu nilivosikia kutoka kwa watangazaji mbali mbali wa station hyo ni kutoa sababu kwanini wasanii wetu ali kiba na diamond wamekosa tuzo.
Sababu walizotoa ni kwamba ili kuweza kupata kura unapaswa kuwa karibu na mashabiki nchi nzima, na kwamba njia ya kuwafikia mashabiki kiurahsi ni kupitia tamasha la Fiesta ambalo lipo nchi nzima. Diamond na ali kiba kutoshirik fiesta imemnyima kura nyingi walisema watangazaji hao.
Sasa mi celewi kama kweli hii inaweza kuwa sababu, pia inaonekana clouds wanaumia kutokuwa na wasanii hawa katika fiesta. Je ndo dalili za kumshusha mond zimeanza
Mi naona kuna mambo mengi nyuma ya pazia kama alivosema eddykenzo, kuna harufu ya mchezo mchafu. Pia diamond inaonekana wazi wasanii wenzake hawafurahishwi na mafanikio yake.
Vote for Kiba best african act
Kwaio mkuu,kwa maoni yako diamond na wiz kid nan alstahili au yemi alade na vanessa.Kama mliangalia programme nzima, kuna kitu kimepangwa kuwakosesha wasanii toka tz, mpango mzima unaonekana pale yule presenter alipowataka wenzake waliokuwa wadada watatu waki present wachague msanii wa kukaa nae, wengi mnaweza msielewe ilikuwa ni nini, lkn ilikuwa ni yemi alade aende kukaa na Dimond. Ilikua ni mpango umeandaliwa kwenda kumliwaza! Wengi mtakuwa hamuelewi lkn mpango ndio huo, labda imeonekana TZ tunashinda sana katika fani za mambo mengi, big brother n.k, ikaonekana this time tukose, sababu zinaweza kuwa ni nyingi. Lkini itabakia wanamuziki wetu wamefanya vizuri sana mwaka huu pengine kuliko hata huko nyuma. Na siamini tumekosa hivi hivi, mpango umeandaliwa mahsusi kabisaa.
hivi kabisa kwa akili ya kawaida ulitegemea Diamond angechukua Tuzo mbele ya wizkid?!usijitoe akili Kwa mafanikio ya Wizkid mwaka huu alistahili kile alichopata muda mwingine tujifunze kukubali matokeo.Kama mliangalia programme nzima, kuna kitu kimepangwa kuwakosesha wasanii toka tz, mpango mzima unaonekana pale yule presenter alipowataka wenzake waliokuwa wadada watatu waki present wachague msanii wa kukaa nae, wengi mnaweza msielewe ilikuwa ni nini, lkn ilikuwa ni yemi alade aende kukaa na Dimond. Ilikua ni mpango umeandaliwa kwenda kumliwaza! Wengi mtakuwa hamuelewi lkn mpango ndio huo, labda imeonekana TZ tunashinda sana katika fani za mambo mengi, big brother n.k, ikaonekana this time tukose, sababu zinaweza kuwa ni nyingi. Lkini itabakia wanamuziki wetu wamefanya vizuri sana mwaka huu pengine kuliko hata huko nyuma. Na siamini tumekosa hivi hivi, mpango umeandaliwa mahsusi kabisaa.
Acheni undezi kwani diamond peke yake ndo alishindwa??? Kulkua na nominees wangap na mbna wengine wapo fiesta. Tumewachoka na pumba zenu
Man United kapigwa 4 leo mmekaa habari za Diamond tu
Diamond ndo nani ni mtu au venue
Usije mjini na jembe. Rudi Mbalali haya mambo ya town waachie wenyewe
Bora nibaki mbarali kuliko kuchangamana na mapunga ya dar
Kila kuna kuna mi.choko