Clouds sports extra ni kipindi dhidi ya Simba?

kibaravumba

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
6,634
Reaction score
7,015
Imefika wakati Clouds muajiri mtu atakayeendesha kipindi cha michezo kwa weledi.

Ni muda mrefu watangazaji wamekuwa wakiendesha propaganda dhidi ya Simba na kupendelea kusoma maoni hasi na kuyapamba ili ionekane ni kweli.
Inapotokea kwa Yanga kusemwa kwa maoni hasi,utawasikia wakitoa hoja mbali mbali kujaribu kubalance maoni hayo jambo ambalo ni tofauti inapokuja suala la Simba.

Nimekuwa na hamu sana kuwa mpenzi wa vipindi vinavyosemwa sana kama sports arena ila bahati mbaya huku niliko sina chaguo zaidi ya clouds ambao ndio husikika pekee.

Tumeona mara nyingi magoli halali kabisa ya mechi zaidi ya tano akifungwa yanga na kukataliwa bila sababu za msingi.Ila hutawasikia clouds wanazungumzia hayo kamwe.

Suala la Morrison na ubabaishaji wa GSM lina mengi ya kujadili,ila hitakuta wanalizungumzia.Haya yangekuwa Simba ungesikia mengi sana.Tungejifunza hata taratibu za usajili kwa mujibu wa Fifa zikoje.Wangeletwa wataalamu kuelezea.Ila kwa vile liko yanga,wanatafuta kila choko choko na upenyo wa kujaribu kuihukumu Simba.

Kwa ujumla mnani boa sana na uchambuzi wenu wa kizushi na kiswahili swahili bila kuangalia fact.
 
Utopolo fc hawabebeki! Simba bingwa tenaaaa[emoji313][emoji92][emoji471][emoji471][emoji471][emoji2422][emoji2422][emoji2422]
 
Duh
 
Ukiamua kuchukulia kitu negative utakiona hivyohivyo, mjifunze kuukubali ukweli, unataka kusikia simba wanakipiga kama barca wakati uwezo huo hampo nao.
 
Nimekuwa na hamu sana kuwa mpenzi wa vipindi vinavyosemwa sana kama sports arena ila bahati mbaya huku niliko sina chaguo zaidi ya clouds

[/QUOTE]
Mzee huna bando nini? Radio zipo online unasema upo sehemu inasikika vlouds pekee!!!
 
Nimekuwa na hamu sana kuwa mpenzi wa vipindi vinavyosemwa sana kama sports arena ila bahati mbaya huku niliko sina chaguo zaidi ya clouds
Mzee huna bando nini? Radio zipo online unasema upo sehemu inasikika vlouds pekee!!![/QUOTE]Acha kelele mbumbumbu,ubingwa wa mbeleko si mmepewa?
 
Mzee huna bando nini? Radio zipo online unasema upo sehemu inasikika vlouds pekee!!!
Acha kelele mbumbumbu,ubingwa wa mbeleko si mmepewa?
[/QUOTE]
Hivi unajielewa wewe? Sichezi disko vumbi kamwe, yaani nitoke kuangalia liver vs chelsea halafu nije kuangalia simba vs yanga? Ni matumizi mabaya ya mwili na akili
 
Bakieni na stori tumebebwa. Kombe la tatu hilo mfululizo angalieni mkicheza na mwakani tena tunalibeba mkibakia na akili mlizoachiwa na zahera visingizio vingiiii
 
Acha kelele mbumbumbu,ubingwa wa mbeleko si mmepewa?
Hivi unajielewa wewe? Sichezi disko vumbi kamwe, yaani nitoke kuangalia liver vs chelsea halafu nije kuangalia simba vs yanga? Ni matumizi mabaya ya mwili na akili
[/QUOTE]
Bakieni na stori tumebebwa. Kombe la tatu hilo mfululizo angalieni mkicheza na mwakani tena tunalibeba mkibakia na akili mlizoachiwa na zahera visingizio we
 
Hivi mbona mnajichanganya nyie? Kuna semehu nimesema mimi ni utopolo ama mbumbumbu fc?
 
Meseji yako inatoa majibu mbona. Afu wabongo kwa kujifanya mnapenda ishu za ulaya mtazani lamda mko smart saaana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…