Clouds sports extra ni kipindi dhidi ya Simba?

Online gani?Nina app kadhaa redio nyingi za Tanzania ni magumashi tu..muda mwingi ziko offline
Nimekuwa na hamu sana kuwa mpenzi wa vipindi vinavyosemwa sana kama sports arena ila bahati mbaya huku niliko sina chaguo zaidi ya clouds
Mzee huna bando nini? Radio zipo online unasema upo sehemu inasikika vlouds pekee!!![/QUOTE]
 
Ili Mikia wadominate mpira wa Tanzania ilibidi Bashite atumike na Azam waungane na mikia....Bongo bahati mbaya
 
Imefika wakati Clouds muajiri mtu atakayeendesha kipindi cha michezo kwa weledi.

Ni muda mrefu watangazaji wamekuwa wakiendesha propaganda dhidi ya Simba na kupendelea kusoma maoni hasi na kuyapamba ili ionekane ni kweli.
Inapotokea kwa Yanga kusemwa kwa maoni hasi,utawasikia wakitoa hoja mbali mbali kujaribu kubalance maoni hayo jambo ambalo ni tofauti inapokuja suala la Simba.

Nimekuwa na hamu sana kuwa mpenzi wa vipindi vinavyosemwa sana kama sports arena ila bahati mbaya huku niliko sina chaguo zaidi ya clouds ambao ndio husikika pekee.

Tumeona mara nyingi magoli halali kabisa ya mechi zaidi ya tano akifungwa yanga na kukataliwa bila sababu za msingi.Ila hutawasikia clouds wanazungumzia hayo kamwe.

Suala la Morrison na ubabaishaji wa GSM lina mengi ya kujadili,ila hitakuta wanalizungumzia.Haya yangekuwa Simba ungesikia mengi sana.Tungejifunza hata taratibu za usajili kwa mujibu wa Fifa zikoje.Wangeletwa wataalamu kuelezea.Ila kwa vile liko yanga,wanatafuta kila choko choko na upenyo wa kujaribu kuihukumu Simba.

Kwa ujumla mnani boa sana na uchambuzi wenu wa kizushi na kiswahili swahili bila kuangalia fact.
Yanga wana wivu sana [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tatizo unadhani kila mahali ni TTF kwa Karia awabebe. Na msipobebwa mnaona mmeonewa
 
Ni Mtangazaji Mpumbavu na Redio ya Kipumbavu tu pekee ndiyo wataacha Kuijadili na Kuizungumzia Timu bora Tanzania ya Simba Sports Club.
 
Jamaa kweli asee wakizungumzia habar za yanga kama viongozi ama mashabiki wa utopolo fc.
Mfano ni uchambuzi wa mechi kati ya yanga vs azam..

Na barua ya malalamiko ya azam. Jamaa hata wakutaka kujadili kitu.
 
Mkono mtupu haulambwi
Mti wenye matunda ndio unaorushiwa mawe

Kwenye mafanikio ndiko kunakosemwa
Mara nyingi Maskini huwasema vibaya matajiri
 
Back
Top Bottom