Ntajifunza mkuunguvu wewe jifunze ku-quote vizuri umenikata sana yani hadi nimeshindwa kukunukuu
Mzee huna bando nini? Radio zipo online unasema upo sehemu inasikika vlouds pekee!!![/QUOTE]Nimekuwa na hamu sana kuwa mpenzi wa vipindi vinavyosemwa sana kama sports arena ila bahati mbaya huku niliko sina chaguo zaidi ya clouds
Kachambue wewe basi. Unataka wazungumze unachokiwaza
Mbumbumbu fc katika ubora wao.Aliye Wapa ilo Jina ali fanya research ya kutosha maana linaendana na fikra za mbumbumbu.
Yanga wana wivu sana [emoji23][emoji23][emoji23]Imefika wakati Clouds muajiri mtu atakayeendesha kipindi cha michezo kwa weledi.
Ni muda mrefu watangazaji wamekuwa wakiendesha propaganda dhidi ya Simba na kupendelea kusoma maoni hasi na kuyapamba ili ionekane ni kweli.
Inapotokea kwa Yanga kusemwa kwa maoni hasi,utawasikia wakitoa hoja mbali mbali kujaribu kubalance maoni hayo jambo ambalo ni tofauti inapokuja suala la Simba.
Nimekuwa na hamu sana kuwa mpenzi wa vipindi vinavyosemwa sana kama sports arena ila bahati mbaya huku niliko sina chaguo zaidi ya clouds ambao ndio husikika pekee.
Tumeona mara nyingi magoli halali kabisa ya mechi zaidi ya tano akifungwa yanga na kukataliwa bila sababu za msingi.Ila hutawasikia clouds wanazungumzia hayo kamwe.
Suala la Morrison na ubabaishaji wa GSM lina mengi ya kujadili,ila hitakuta wanalizungumzia.Haya yangekuwa Simba ungesikia mengi sana.Tungejifunza hata taratibu za usajili kwa mujibu wa Fifa zikoje.Wangeletwa wataalamu kuelezea.Ila kwa vile liko yanga,wanatafuta kila choko choko na upenyo wa kujaribu kuihukumu Simba.
Kwa ujumla mnani boa sana na uchambuzi wenu wa kizushi na kiswahili swahili bila kuangalia fact.
Tatizo unadhani kila mahali ni TTF kwa Karia awabebe. Na msipobebwa mnaona mmeonewaImefika wakati Clouds muajiri mtu atakayeendesha kipindi cha michezo kwa weledi.
Ni muda mrefu watangazaji wamekuwa wakiendesha propaganda dhidi ya Simba na kupendelea kusoma maoni hasi na kuyapamba ili ionekane ni kweli.
Inapotokea kwa Yanga kusemwa kwa maoni hasi,utawasikia wakitoa hoja mbali mbali kujaribu kubalance maoni hayo jambo ambalo ni tofauti inapokuja suala la Simba.
Nimekuwa na hamu sana kuwa mpenzi wa vipindi vinavyosemwa sana kama sports arena ila bahati mbaya huku niliko sina chaguo zaidi ya clouds ambao ndio husikika pekee.
Tumeona mara nyingi magoli halali kabisa ya mechi zaidi ya tano akifungwa yanga na kukataliwa bila sababu za msingi.Ila hutawasikia clouds wanazungumzia hayo kamwe.
Suala la Morrison na ubabaishaji wa GSM lina mengi ya kujadili,ila hitakuta wanalizungumzia.Haya yangekuwa Simba ungesikia mengi sana.Tungejifunza hata taratibu za usajili kwa mujibu wa Fifa zikoje.Wangeletwa wataalamu kuelezea.Ila kwa vile liko yanga,wanatafuta kila choko choko na upenyo wa kujaribu kuihukumu Simba.
Kwa ujumla mnani boa sana na uchambuzi wenu wa kizushi na kiswahili swahili bila kuangalia fact.
Imefika wakati Clouds muajiri mtu atakayeendesha kipindi cha michezo kwa weledi.

Tatizo unadhani kila mahali ni TTF kwa Karia awabebe. Na msipobebwa mnaona mmeonewa
Mbumbumbu wameshindikana.Kachambue wewe basi. Unataka wazungumze unachokiwaza