Clouds the best radio station

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Kwa kweli hawa jamaa wanaitaji pongezi sana kwa kufikia apa walipo,napenda programs zao,ni wabunifu sana,nilikuwa nasikilizaga apo awali(sio sasa),kuanzia power breakfast,hekaheka,xxl,na kile cha kina kibonde,amplifaya,sports extra na kipindi cha diva,wanajitahidi kutoa burudani inayokonga nyoyo za mashabiki,hongereni kwa hilo,mengine myafanyie kazi kabla raia hawajawachoka,mimi ni one of ANACONDA TEAM...
 
Redio Wapo Fm na Redio Tumaini ndio redio bora kabisa. wapenda ujinga kama wewe ni lazima uipende Clouds Fm.
 
Kuna kitu kinaitwa Target audience, ukikaa na mtoto mnaangalia tv hamtaelewana ,yeye Anataka vikaragosi wewe unataka siasa! Kuipenda clouds au kuichukua inategemea wewe ni nani katika maisha na una maono gani
 
kile cha kina kibonde kipi!!!!!!

maana hata jina ukifahamu!!!!!!!!!
 
Unajua wa2 ni wanafk xana weng wanadi hawaipendi na wkt bdo wanaendlea kuickiliza achen unafk bhana. Mti wenye ma2nda ndio upigwao mawe!! M2 unakuta ameikomalia anzia hasbuh mpk jioni, alaf anakwambia haipend, km uipend ucngecklza.. Duuh wabongo bwana mumezd kufuata mkumbo
 
Kuna kitu kinaitwa Target audience, ukikaa na mtoto mnaangalia tv hamtaelewana ,yeye Anataka vikaragosi wewe unataka siasa! Kuipenda clouds au kuichukua inategemea wewe ni nani katika maisha na una maono gani

You are very smart!:A S thumbs_up:
 
hivi haujatukanwa muda mrefu sindio??wewe hausiki kilio cha wasanii wanavyonyonywa na hao clouds fm kwakua wao wame dominate market of music industry.
 
hivi haujatukanwa muda mrefu sindio??wewe hausiki kilio cha wasanii wanavyonyonywa na hao clouds fm kwakua wao wame dominate market of music industry.
 
Vipindi vyao vimelenga wavivu kufikiri, wasio na fikra, waliokata tamaa za maisha, wazurumati, wasiojitambua na wasiojua maana ya kesho kama ulivyo mleta mada!

Research yako imesha-fail!
 
na huu ndo ukweli
Kuna kitu kinaitwa Target audience, ukikaa na mtoto mnaangalia tv hamtaelewana ,yeye Anataka vikaragosi wewe unataka siasa! Kuipenda clouds au kuichukua inategemea wewe ni nani katika maisha na una maono gani
 
mkuu HII REDIO IMESABABISHA NIPIGWE BAN NAONA LEO PIA UMEANZA WENZAKO TULIKUA LIKIZO TUMERUDI LEO NGOJA TUPATE ATA LADHA KIDOGO YA JF cc NYANI NGABU,MADAM X
 
Sasa hapa news alert iko wapi?
 
Redio Wapo Fm na Redio Tumaini ndio redio bora kabisa. wapenda ujinga kama wewe ni lazima uipende Clouds Fm.

Kumbe Tanzania kuna radio stations zingine? Mi nilidhani radio station iko moja tu - Clouds!
 
hivi haujatukanwa muda mrefu sindio??wewe hausiki kilio cha wasanii wanavyonyonywa na hao clouds fm kwakua wao wame dominate market of music industry.

Wasanii wananyonywaje? Wananyonywa nini? Na wananyonywa wapi?
 
Pokea LIKE yangu bro!kwa m2 mwenye maono finyu na dhaifu(unrealistic) na asiependa ku exercise brain yake,its obvious atasoma magazet ya udaku udaku na kuskiliza Clouds kutwa nzma.BUT genuine and realistic guys,ataushughulisha ubongo kwa info makini kabsa ambazo huwez pata clouds wala kweny magazet ya shigongo a.k.a udaku.OVER!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…