warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Kwa kweli hawa jamaa wanaitaji pongezi sana kwa kufikia apa walipo,napenda programs zao,ni wabunifu sana,nilikuwa nasikilizaga apo awali(sio sasa),kuanzia power breakfast,hekaheka,xxl,na kile cha kina kibonde,amplifaya,sports extra na kipindi cha diva,wanajitahidi kutoa burudani inayokonga nyoyo za mashabiki,hongereni kwa hilo,mengine myafanyie kazi kabla raia hawajawachoka,mimi ni one of ANACONDA TEAM...