Clouds TV jana iliita muuza madawa ya kulevya anaeitwa Jack Cliff kuja kujitetea jinsi alivyokamatwa na madawa ya kulevya.
Taarifa za uhakika zinaonyesha kua mamlaka nchini China/Macau zilimkamata Jack akiwa na madawa ya kuelvya aina ya Heroine kilo 1.1 mwilini mwake na kupelekea kufungwa miaaka 7.
Jack ametumia muda aliopewa Clouds kubadilisha hiyo taarifa na kusema uongo kwamba alipewa kwenye begi na rafiki yake na hakua anajua kama alikua na madawa ya kulevya kwenye begi.
Kwenye mashitaka aliyokiri Macau alikamatwa na dawa tumboni, Tanzania anapewa airtime kubadilisha ukweli, kuhamisha lawama kwamba alipewa na rafiki yake kwenye begi. Clouds wamempa airtime ajisafishe, aonekane ni mtu alieonewa, alietegeshewa.
Clouds imekua ni station ya kutetea convicted drug dealers na kuwapa airtime wajisafishe. TCRA ipo, wizara ipo na serikali ipo inaangalia Clouds TV ikiwapa muda wauza madawa ya kulevya kujitetea na kubadilisha ukweli.
TCRA mko wapi wauza madawa ya kulevya wanatamba kwenye tv zetu mko kimya?
Section 6 of the TCRA Code of Conduct for Broadcasting Services, 2015, says the licensee shall not broadcast any information that is misleading or likely to create public panic, offend morality or public decency, or incite crime, disorder, or civil strife.
Wana msafisha for what? For which? Alipaswa akiri ili vijana wasiingie huko lakini kinachoendelea anazua taharuki tu ama anataka aendelee kubeba unga?
Assuming hapa kuna watu wa TCRA ..
Ndo wamekuelewa??
Yule nani?
Kile kituo .. kituo kipi?
Wanamsafisha kwenye nini?
Taarifa ya kweli ikoje..
Ya kusafishwa au misleading ikoje?
Kama TCRA ni incompetent...wewe je hata kuandika vizuri huwezi??

Wana msafisha for what ? For which ? Alipaswa akiri ili vijana wasiingie huko lakini kinachoendelea anazua taharuki tu ama anataka aendelee kubeba unga ?

1. Anayesafishwa ni nani?
2. Kachafuka na kitu gani?
3. Kituo gani kinatetea uvunjifu wa sheria?
4.TCRA ana mamlaka ya kukamata mtu anayedhaniwa ni mharifu?
5. Madawa gani yanahojiwa hapa?
6. Binadamu kwa ajili ya tiba au sumu kwa kuangamiza wadudu na wanyama wasio rafiki kwa binadamu?
Lalamiko linatakiwa liwe wazi kwa hatua za wazi na za haki
Assuming hapa kuna watu wa TCRA ..
Ndo wamekuelewa??
Yule nani?
Kile kituo .. kituo kipi?
Wanamsafisha kwenye nini?
Taarifa ya kweli ikoje..
Ya kusafishwa au misleading ikoje?
Kama TCRA ni incompetent...wewe je hata kuandika vizuri huwezi??
Section 6 of the TCRA Code of Conduct for Broadcasting Services, 2015, says the licensee shall not broadcast any information that is misleading or likely to create public panic, offend morality or public decency, or incite crime, disorder, or civil strife.
Wana msafisha for what? For which? Alipaswa akiri ili vijana wasiingie huko lakini kinachoendelea anazua taharuki tu ama anataka aendelee kubeba unga?
Assuming hapa kuna watu wa TCRA ..
Ndo wamekuelewa??
Yule nani?
Kile kituo .. kituo kipi?
Wanamsafisha kwenye nini?
Taarifa ya kweli ikoje..
Ya kusafishwa au misleading ikoje?
Kama TCRA ni incompetent...wewe je hata kuandika vizuri huwezi??
Jana au Juzi nilisikia kipindi cha Jahazi wana mahojiqno na somebody Jack ambae alifungwa huko China au Macau kwa kukamatwa na mihadarati sikusikiliza mpqka mwisho maana nilishuka kwenye daladala

Jack misembe ,Nani asiyejua alikuwa punda huyo?hasafishiki,mapedeshee wote wa muji wanamkwepa so kapoteza soko la mbususu anataka kurudi kivingineš¤ ashakuwa labeled ajikubal na atafute biashara halali mjini afanye maisha yaendelee