Clouds TV imeanza kuwa kituo cha kutetea wauza madawa ya kulevya

Clouds TV imeanza kuwa kituo cha kutetea wauza madawa ya kulevya

Section 6 of the TCRA Code of Conduct for Broadcasting Services, 2015, says the licensee shall not broadcast any information that is misleading or likely to create public panic, offend morality or public decency, or incite crime, disorder, or civil strife.

Wana msafisha for what? For which? Alipaswa akiri ili vijana wasiingie huko lakini kinachoendelea anazua taharuki tu ama anataka aendelee kubeba unga?

Kua serious na mada..
Hujawa specific na chochote.
Uandishi sio hivi!
 
Eti oh nlichomekewa sijui

Nilibeba mzigo wa mtu,mm mwenyewe sikujuwa

Ova
Kuna siku alihojiwa akakiri indirect japo alisema pia hataki kulizungumzia ila akasema hayuko proud kilichomtokea sasa leo anakana tena.
 
Usidanganyike na comments za watu hayo maelezo yanajitosheleza kabisa. Zama hizi usianzishe vita ambayo huwezi kupigana.
Maelezo yanajotoshelezaje wakati hakuna kinachoeleweka?
 
Clouds TV jana iliita muuza madawa ya kulevya anaeitwa Jack Cliff kuja kujitetea jinsi alivyokamatwa na madawa ya kulevya.

Taarifa za uhakika zinaonyesha kua mamlaka nchini China/Macau zilimkamata Jack akiwa na madawa ya kuelvya aina ya Heroine kilo 1.1 mwilini mwake na kupelekea kufungwa miaaka 7.

Jack ametumia muda aliopewa Clouds kubadilisha hiyo taarifa na kusema uongo kwamba alipewa kwenye begi na rafiki yake na hakua anajua kama alikua na madawa ya kulevya kwenye begi.

Kwenye mashitaka aliyokiri Macau alikamatwa na dawa tumboni, Tanzania anapewa airtime kubadilisha ukweli, kuhamisha lawama kwamba alipewa na rafiki yake kwenye begi. Clouds wamempa airtime ajisafishe, aonekane ni mtu alieonewa, alietegeshewa.

Clouds imekua ni station ya kutetea convicted drug dealers na kuwapa airtime wajisafishe. TCRA ipo, wizara ipo na serikali ipo inaangalia Clouds TV ikiwapa muda wauza madawa ya kulevya kujitetea na kubadilisha ukweli.

TCRA mko wapi wauza madawa ya kulevya wanatamba kwenye tv zetu mko kimia?

View attachment 2548169

Yaani hiki kituo toka amefariki Ruge kimepoteza mwelekeo, hakina mvuto tena
 
Afu unaenda kumla 0713 huyo manzi ukidhani unamkomoa kumbe mwenzako anapitishaga pipi za madawa ya kulevya zenye jumla ya uzito wa 1.1kg kwny ass yake 😄😄.Mtakufa wanaume wa Dar
 
Back
Top Bottom