John Gregory
JF-Expert Member
- Jul 14, 2019
- 1,137
- 2,147
Habari wakuu,
Nimeshangaa sana kuona hii studio/chumba cha habari wanachotumia Clouds Tv katika kipindi cha Sports bar mpaka nikajiuliza kwa nini wameamua kufanya hivyo? Je, wamekosa resource? Ubahili? Au ukata?
Kwakweli chumba cha habari ni kama wapo ndani ya 'contena' au kabatini, Yaani wamebanana mno mpaka hata ukiangalia namna walivyokaa unaona kabisa hawako comfortable nahisi wakati mwingine hata harufu ya kinywa nahisi hutawanyika huku magoti yakigongana! Ujumbe kwenu Clouds, Je, mmekosa kabisa chumba cha habari ambacho wachambuzi watakuwa comfortable zaidi kama EATV ma wengineo?