John Gregory
JF-Expert Member
- Jul 14, 2019
- 1,137
- 2,147
Clouds TV kuhusu setup za studio kwenye TV hawajawahi kufanikiwa katika vipindi vyote. Setup zao yani huwa kama za startvHabari wakuu
Nimeshangaa sana kuona hii studio/chumba cha habari wanachotumia Clouds Tv katika kipindi cha Sports bar mpaka nikajiuliza kwa nini wameamua kufanya hivyo? Je, wamekosa resource? Ubahili? Au ukata?
Kwakweli chumba cha habari ni kama wapo ndani ya 'contena' au kabatini, Yaani wamebanana mno mpaka hata ukiangalia namna walivyokaa unaona kabisa hawako comfortable nahisi wakati mwingine hata harufu ya kinywa nahisi hutawanyika huku magoti yakigongana! Ujumbe kwenu Clouds, Je, mmekosa kabisa chumba cha habari ambacho wachambuzi watakuwa comfortable zaidi kama EATV ma wengineo?
View attachment 2608604
View attachment 2608608
View attachment 2608609
Hawa jamaa wamekosa mvutoHabari wakuu

Kuna kipindi kilikuwa ijumaa kinaitwa Washa kideo atleast pale walijitahidi..vingine hovyohovyo..Clouds TV kuhusu setup za studio kwenye TV hawajawahi kufanikiwa katika vipindi vyote. Setup zao yani huwa kama za startv