Clouds Tv shida ni nini?

Basi tuseme hawa wengine wanatembelea majina na ukongwe kwenye game! creativity imelala
Hio Ni kweli mkuu,lkn mimi tangu clouds tv imeanzishwa sikuwahi kuona Kama ilikua na vipindi vya maana.Kuanzia sauti, picha,maudhui Zilikua hovyo hovyo tu.
 
Wanawakabaje Koo wkt clouds na wasafi mmiliki wake ni mmoja?
Unawajua wamiliki wa Clouds na wamiliki wa Wasafi? Wanahisa wa Wasafi Media ni wanne na wanahisa wa Clouds ni familia ya Joseph Kusaga na nduguza zake pamoja na familia nyingine tatu.
Aya we mjuaji tutajie wadau/wana hisa wa Wasafi ambao ni wamiliki wa clouds pia.
 
Si unajua anayemiliki hivo vituo ni mtu mmoja?
 
Sawa umesikika mke wa mmoja wa wamiliki wa Wasafi.

Msalimie Juhayna Zaghalulu Ajmy hapo Wasafi.
 
Ki fupi clouds media kwenye upande wa tv walikurupuka tu, toka ianze haijawahi kuwa kwenye kiwango kinachotakiwa kuwa, kulinganisha na radio!!Na siku zinavyozidi kwenda ndio wanazidi kupotea kabisa, bora hata sasa hivi chanel ten kwani nayo daa!!
 
Kama mmetumwa na Wasafi media kawaambieni bado saaaanaa kuwafikia.......wajipange zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…