Radhia Sweety
JF-Expert Member
- Aug 10, 2011
- 4,433
- 1,771
Sikia radhia hakuna beef hapo think vizuri utajua kilichokuwa kinafanyika ukiwa na kichwa chepesi utajua ni beef take it from me no beef between clouds fm and binti komando
Teh teh teh.....saa 8:45 usiku,kama wez vile.
Wapige joto hasira katika kipindi cha jahazi
Sikia radhia hakuna beef hapo think vizuri utajua kilichokuwa kinafanyika ukiwa na kichwa chepesi utajua ni beef take it from me no beef between clouds fm and binti komando
mbona mtangazaji kashafukuzwa kazi leo asubuhi

hawalali wanakesha nayo!usipime ile radio ina radha tamu sana oooooooh!kumbe na wewe huwa unaisikiliza? Ukija huku wajifanya kukandamiza maneno ya kinafiki?