CLOUDS waanza kulegea kwa JIDE: Wapiga wimbo wake

CLOUDS waanza kulegea kwa JIDE: Wapiga wimbo wake

Radhia Sweety

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2011
Posts
4,433
Reaction score
1,771
Leo saa 8:45 usiku wimbo wa ''WANAUME KAMA MABINTI'' wa Lady Jay Dee ulisikika kwenye kipindi cha ''Late Night Show'' cha hii redio. Japo mtangazaji wa kipindi hakuumaliza wimbo mzima, ni dalili tosha kuwa hawa waduwanzi wameshaona muziki wa Anaconda haupimiki kudadadeki.
 
Sikia radhia hakuna beef hapo think vizuri utajua kilichokuwa kinafanyika ukiwa na kichwa chepesi utajua ni beef take it from me no beef between clouds fm and binti komando
 
Teh teh teh.....saa 8:45 usiku,kama wez vile.
Wapige joto hasira katika kipindi cha jahazi
 
Hyo itakuwa ni playlist. 2 ya nymbo!,baada :y a kush2kia kuna nymbo ya jide inaimba wakaamua kuikata.
 
Sikia radhia hakuna beef hapo think vizuri utajua kilichokuwa kinafanyika ukiwa na kichwa chepesi utajua ni beef take it from me no beef between clouds fm and binti komando

Yaani m2 akubali kuitwa mwanafatuma bila ya sababu yoyote!!!
 
Sikia radhia hakuna beef hapo think vizuri utajua kilichokuwa kinafanyika ukiwa na kichwa chepesi utajua ni beef take it from me no beef between clouds fm and binti komando

we umetokea wapi watu wakuponde vile radion kwao......
waitane mwana Fatuma......
waliokubali kushiriki show wagome.......

"Yahaya kwani unaishi wapi"
 
Aksante sana kwa kusikiliza Clouds Fm,Changamoto ya kutokusilizwa wameifanya Fursa sasa kila mmoja anasikiliza clouds kisha anakuja kusaidia kuitangaza!
 
Mi kila siku naingiaga jukwaa la siasa, kumbe nakosaga mambo huku? Eti kama hakuna beef kuna pock? Napendaga majibu ya shombo.
 
Duh! Hiyo kali tena mtangazaji kapiga wimbo wa WANAUME KAMA MABINTI??? sipati picha Joe na Ruge waliposikia huo wimbo ukiwa hewani kwenye redio yao!:shock:
 
Sikia radhia hakuna beef hapo think vizuri utajua kilichokuwa kinafanyika ukiwa na kichwa chepesi utajua ni beef take it from me no beef between clouds fm and binti komando

ikiwa hamna beef, ile case ya nini waliomfungulia...?
 
Mimi bado hadhira nisiyejua kinachoendelea kati ya hiyo redio na huyo dada.
 
Hahahaaaaa endelea kuisikiliza super brand Clouds FM aka redio ya watu.
 
kumbe na wewe huwa unaisikiliza? Ukija huku wajifanya kukandamiza maneno ya kinafiki?
 
Back
Top Bottom