Clouds wamesanda kwa WCB waanza kupiga nyimbo zao

Ndio yale yale Ukipigwa.. Oh unanionea. Ukiachwa unaniogopa
 
Bosi wa Clouds na WCB ni mtu mmoja.

Matukio yote haya ni juu.ya biashara, hakuna lingine.
 
Clouds + inawezekana ila kwenye clouds radio na clouds tv sidhani kama zitapigwa
 
Wasafi FM na TV inamilikiwa na Kusaga kwa 51pc
 
Aisee Kuna clouds tv na clouds plus. Hiyo n plus sio tv. Huwez zusikia clouds fm Wala tv. Ever
 
Hiyo ni Clouds Plus na sio CloudsTV..usichanganye madesa WCB hawasiki CloudsFm,CloudsTv na ChoiceFm
Hivi hii Clouds Plus ni ya nani? Kumbe haihusiani kabisa na Clouds Media Group?
 
Leo nilikuwa naangalia Clouds TV, nikaona wanapiga nyimbo ya Hamonize nikajua labda kwa sababu kjitoa wasafi nikaona tena wanapiga goma la Mondi bin Laden lile 'Kanyaga' nikasema dooooh jamaa wamesanda.

View attachment 1226621
waswahili bana

mmiliki wa clouds ndio huyo huyo mmiliki wa wasafi bwana kusaga

mengine ujinga wako
 
Mmiliki wa clouds tv ndo anayemiliki wasafi tv...mbona hushangai wasafi tv kupiga nyimbo za diamond??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…