Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alisikika dada mmoja akiwa amewekwa chuma mboga huku akimjibu mvuta bangi.Alisikika mvuta bhangi mmoja[emoji115][emoji115]
daimond kaona maji yamefika shingoni.hahaha eti apige magoti naharisha
Menafikiri umeongea kwa kujifurahishadaimond kaona maji yamefika shingoni.
Bado ni cloudmedia under one CEOHiyo ni Clouds Plus na sio CloudsTV..usichanganye madesa WCB hawasiki CloudsFm,CloudsTv na ChoiceFm
Ampigie magoti huyu asiye na Malinda?Diamond hawez pigia magot wale kina dazen
Leo nilikuwa naangalia Clouds TV, nikaona wanapiga nyimbo ya Hamonize nikajua labda kwa sababu kjitoa wasafi nikaona tena wanapiga goma la Mondi bin Laden lile 'Kanyaga' nikasema dooooh jamaa wamesanda.
View attachment 1226621
Hivi hii Clouds Plus ni ya nani? Kumbe haihusiani kabisa na Clouds Media Group?Hiyo ni Clouds Plus na sio CloudsTV..usichanganye madesa WCB hawasiki CloudsFm,CloudsTv na ChoiceFm
waswahili banaLeo nilikuwa naangalia Clouds TV, nikaona wanapiga nyimbo ya Hamonize nikajua labda kwa sababu kjitoa wasafi nikaona tena wanapiga goma la Mondi bin Laden lile 'Kanyaga' nikasema dooooh jamaa wamesanda.
View attachment 1226621
TV yako inaonyesha picha vichwa chini miguu juu?Leo nilikuwa naangalia Clouds TV, nikaona wanapiga nyimbo ya Hamonize nikajua labda kwa sababu kjitoa wasafi nikaona tena wanapiga goma la Mondi bin Laden lile 'Kanyaga' nikasema dooooh jamaa wamesanda.
View attachment 1226621
[emoji2] [emoji2]TV yako inaonyesha picha vichwa chini miguu juu?